JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hoyo safari ya kwa mkuu wa wilaya just to notice how dumb you are🙆🏽‍♀️
Na hapo ni mawili either uambatane na mzazi au kuna jirani yako mwenye kiherehere asharipoti matokeo yako kwenu
 
Kutype mbona cha mtoto kuna watu wanatembea kabisa

Juzi juzi baba yangu mdogo manusra arest in peace,kaamka usiku katembea huku amelala,kumbuka anakaa ghorofani,katoa mguu wa kwanza nje ya dirisha,ndio mamdogo akashtuka huyu mtu vipi ndio kumvuta ndani,la sivyo yangekuwa mengine

Kwahiyo hayo mambo yako,mfano now natype huku nimelala🤣🤣
nimemuonea huruma huyo ma mdogo wako,,

kwan wakilala hawafungi madirisha?
 
Kuna siku niliandika jina langu katika search engine ya Google ghafla niliyaona matokeo yangu ya shule ya msingi
Basi we ni wa juzi! Mimi nikiandika sioni chochote’ labda mdaiwa sugu😅
 
Back
Top Bottom