win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,666
- 39,741
hapan mi nataka wa 40 ili hiyo elf 10 niwe namuachia ya matumiziWapo sana tu,ila ongeza japo ifikie 50,000 walau basi
hapan mi nataka wa 40 ili hiyo elf 10 niwe namuachia ya matumiziWapo sana tu,ila ongeza japo ifikie 50,000 walau basi
Wapo wengi tuhivi wadada wa kazi wa elf 40 kwa mwezi bado wapo?,, nimechoka kujifanyia kazi za nyumbani walah, siwez kutafuta pesa kwa uchungu bado nikipata nafasi ya kupumzika niwaze kufua, kuosha vyombo sijui kupika am tayadi
nipe connection basi ila awe mdogo mdogo ili niwe namfokea akikosea😄Wapo wengi tu
Itakuwa sio mbaya pia,ila uishi nae kama mdogo wako itapendeza zaidihapan mi nataka wa 40 ili hiyo elf 10 niwe namuachia ya matumizi
Utarogwa ujue😂nipe connection basi ila awe mdogo mdogo ili niwe namfokea akikosea😄
Unatakiwa kumuelekeza na sio kumfokeanipe connection basi ila awe mdogo mdogo ili niwe namfokea akikosea😄
nitafanya hivyo ila jitahidi asiwe ni kiburiItakuwa sio mbaya pia,ila uishi nae kama mdogo wangu itapendeza zaidi
kuna vingine haviskii la kuambiwaUnatakiwa kumuelekeza na sio kumfokea
Sasa nijitahidi mimi kwani mie ndie nakutafutia?nitafanya hivyo ila jitahidi asiwe ni kiburi
wew si umesema wapo nikajua unalifaham chimbo jamniSasa nijitahidi mimi kwani mie ndie nakutafutia?
Hapo ni baada ya kuona kuwa plan one haifai ndio unakuja na plan b,lakini ninavyojua ukimuonyesha upendo na kuishi nae kama ndugu yangu atakupa ushirikiano mzuri sanakuna vingine haviskii la kuambiwa
sawa nikimpata nitafanya hivyoHapo ni baada ya kuona kuwa plan one haifai ndio unakuja na plan b,lakini ninavyojua ukimuonyesha upendo na kuishi nae kama ndugu yangu atakupa ushirikiano mzuri sana
Itakuwa gud sana, umemuuliza dosho12 lakini,huenda anajua machimbosawa nikimpata nitafanya hivyo