Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,264
- 2,024
Bado nina maswali magumu kuhusu uwezo wa kitu chenye nguvu na HURUMA zote
Source ya hayo yote ni nini?Daaah nikiona watoto wanateseka familia zinakufa na njaa nawaza Kwan Mungu hawaoni
Naumia sana ninapoona watoto wanateseka
Aliyeweka maji kwenye nazi babu yako.....?Bado nina maswali magumu kuhusu uwezo wa kitu chenye nguvu na HURUMA zote