yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Atakuokoa usitumbukie shimoni; amepata ukombozi kwa ajili yako

    Zaburi 130:3; 51:3-5 zinaonyesha kuwa mwanadamu ni mwenye dhambi na hawezi kujihesabia haki mbele za Mungu. Warumi 7:19,24 zinaeleza mapambano ya ndani ya mwanadamu; anatamani kutenda mema lakini mara nyingi hujikuta akitenda mabaya, hivyo anatamani kuokolewa. Ayubu 9:29,32-33 zinaonyesha kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe? Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
  3. JamiiForums Tanzania Mke siyo ndugu yako!

    Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka! Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu.. Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu. Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Huenda kuchelewa kwako kuoa au kuolewa ndiko kunachelewesha kuyafikia mafanikio ya ndoto za maisha yako

    Humo ndiko Mungu amehifadhi mafanikio, furaha na amani ya maisha yako, ni suala la wewe tu kuamua kuingia kwenye ndoa na hatimae kuanza kufurahia Neema na Baraka za Mungu alizokuandalia uzifurahie katika maisha yako hapa duniani. Kwani hujawahi kuona mtu baada tu ya kuingia kwenye ndoa mafuriko...
  5. JamiiForums Tanzania Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

    😁
  6. JamiiForums Tanzania Fuata moyo wako lakini usisahau kubeba akili yako

    Moyo pekee (Bila Akili) Huleta maamuzi ya kukurupuka, matatizo ya kifedha, au kubaki kwenye mahusiano mabaya kwa sababu ya hisia tu. Akili pekee (Bila Moyo) Hufanya maisha kuwa ya kuchosha, yasiyo na furaha, na yenye kufuata taratibu tu bila msisimko. *Ruhusu moyo uchague unachokipenda, lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Kama ukikaa halafu unajikuta unafanya hivi mikono basi tambua una spirit ya utajiri wa mali ndani yako

  8. JamiiForums Tanzania Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

    Baada ya thread nzuri juu ya maana ya majina tunayotumia humu ndani ya JF, nimeona ni vizuri pia tukaongelea kuhusu avatar tunazotumia
  9. JamiiForums Tanzania Endelea Kufanya Mema Yako

    Jua halisimami kuangaza kwa sababu kuna watu hawalipendi. Endelea kufanya mema yako, sio kila mtu atalielewa kusudi lako
  10. JamiiForums Tanzania Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

    Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine. Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Neema Yako umewakutanisha Anna Maboya na Upendo Nkone, sikiliza upate faraja ya unayopitia

    https://www.youtube.com/watch?v=91T84O89JeA “Neema Yako” ni wimbo wa injili uliotolewa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Anna Maboya akimshirikisha Upendo Nkone. Wimbo huo umeachiwa kwenye Mtandao wa YouTube mnamo Mei 30, 2026 na unapatikana kama single yenye ujumbe unaosisitiza neema ya Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

    Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo. Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana. Una kutana...
  13. JamiiForums Tanzania Wanasema kila nchi huwa ina mangenge ambayo yako nyuma serikali yenyewe Ndo yanaenesha USA na ISRAEL

    Najua wengi mnafahamu kwamba Israel wana endesha Rais wa USA kuna madoni yameweka system mkononi sema ya kule yanakula na Wananchi ya kwetu Afrika ni kausha Damu GUPTA na SA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kesho (Tomorrow) and jana( yesterday) havipo, unavitengeneza tu kwenye akili yako

    Habari wanajf, kila siku huwa na sema hapa jf. Na leo nitasema kwa mara ya mwisho "ishi sasa (Now) hayo mambo ya kesho ,yatajipambania yenyewe". Matatizo ,maumivu ,na shida zote sio za lazima(unnecessary). Ni kwa sababu hukubaliani na wakati wa sasa (now),kwa sababu wakati wa sasa(now) mara...
  16. JamiiForums Tanzania Mizigo yako unampa nani?

    MZIGO MZITO UNAMPA MPAGAZI, JE WA NDANI UNAMPA NANI? mzigo mzito mpe Mnyamwezi, Kwa sababu ana uwezo wa nguvu za mwili. Mzigo wa akili hakuna wa kukubebea Na huo ndio mzigo unaochosha kuliko anaoubeba Mnyamwezi. Huu hauonekani… lakini unakula nguvu kila sekunde. Chuki. Maumivu ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  18. JamiiForums Tanzania Kushuhudia mazishi yako ndotoni

    Kuota unashuhudia mazishi yako mwenyewe ni ishara ya wazi kuwa umenaswa kwenye rada za ulimwengu wa uchawi, ambapo wachawi na washirikina wanatumia madhabahu zao za giza kuratibu ukomo wa maisha yako kiroho na kimwili. Katika ulimwengu wa uchawi wa usiku, ndoto hii inaashiria kuwa nyota yako...
  19. JamiiForums Tanzania Wekeza leo, Jenga kesho yako!

    Ardhi haiongezwi duniani, ndiyo maana uwekezaji wa ardhi na nyumba unaendelea kuwa chaguo bora. Fanya maamuzi sahihi leo kwa ajili ya mustakabali wako na wa familia yako. Uwekezaji wa mali isiyohamishika ni njia mojawapo ya kujenga utajiri wa kudumu. ✨ Jumamosi njema kutoka Kayinga...
  20. JamiiForums Tanzania Geuza ndoto yako kuwa Anwani yako ya kweli!

    Jumamosi njema! Kila uwekezaji mkubwa huanza na uamuzi mmoja sahihi. Leo inaweza kuwa siku yako ya kupata nyumba au kiwanja cha ndoto zako. 📍 Viwanja vya Uwekezaji 🏠 Nyumba za Kupanga na Kuuza 🏢 Apartments na Commercial Properties 💼 Ushauri wa Uwekezaji wa Real Estate 📞 Piga Simu au WhatsApp...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…