Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾
Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa).
Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe.
Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa.
Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu:
👇
Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku.
Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi
kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa.
Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo.
Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi.
Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
Moja kwa moja...
Jf imekuwa tofauti na mitandaoni wengine watu wengi tunatumia majina na picha fake kama utambulisho wetu wachache sana wanaotumia utambulisho wao halisi , hali hii inaelekea ugumu kukutana na kuwajua Wana Jf mtaani tofauti na mitandao mengine. Na mtu anaweza kujutajia account...
Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.
Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara...
Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea
Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini?
Mara ooh! Pesa ni za shetani tafuta ufalme wa Mungu, mara sijui pesa kazipata...
Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi:
Ethiopia
Thailand
Timor-Leste
Indonesia
Myanmar
Singapore
Ufilipino
Msumbiji
Japan
Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea...
Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉
Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu.
💼 Unaweza kutumia mkopo kwa:
✅ Kuongeza bidhaa dukani
✅ Kuongeza mtaji wa biashara
✅ Kuboresha...
Kutoka mezani kwa Adama H kigamboni Dar esaalam
Rafiki
Ndani ya second 60 zijazo Nitaenda kukuonesha sababu kubwa Tano za kwanini wateja hawanunui Bidhaa au
Huduma Yako
Na Hizi sababu haijalishi una uza nguo,Viatu,magari,viwanja nyumba nk
Zinaingia kote kote
Twende pamoja
Sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.