yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto yako ya kumiliki chombo cha moto imefikia wapi?

    Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa. Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani. Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama...
  3. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa gardening and landscaping designs

    MACDEGAMO Company Limited is a professional company that provides building maintenance services, environmental sanitation, home decoration, planting and landscaping, as well as house molding. We focus on providing high-quality services using skilled professionals, with the aim of ensuring that...
  5. JamiiForums Tanzania MACDEGAMO - Wataalamu wa mazingira yako

    MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango vya kitaalamu ili kuboresha mwonekano, usalama na thamani ya majengo na mazingira ya wateja wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Hii michango ya harusi laki moja mnayoweka kwenye kadi tena bila option ya kuchagua ya size yako tutaonana wabaya aisee

    MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k Laki moja imekuwa sasa kama trend. Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu Hivi haya yootee ya nini, jamani, Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mo Simba day nini maoni yako

    Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa efu kumi yako tu...!

    Hivyo ewe kijana...enyi wachumba...enyi wenye ndoa changa mnangoja nini?
  10. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
  11. JamiiForums Tanzania Kutaka bikra kwa mwanamke utakayemuoa ni Haki yako kama mwanaume.

    KUTAKA BIKIRA KWA MWANAMKE UTAKAYEMUOA NI HAKI YAKO KAMA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Usione aibu kuulizia bikira kwa mwanamke unayetaka kumuoa. Muulize tuu unaogopa nini? Muulize kama hana anajihisi vipi kama utamuoa huku akiwa hana bikira. Sikiliza mtazamo wake. Hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Umeianzaje weekend yako?

  13. JamiiForums Tanzania Heshima ya Shahada yako

    SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI Adeladius Makwega – MBAGALA Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology. Mhadhiri wetu alikuwa Profesa Samwel Mshana, ambaye kwa sasa ni marehemu. Alikuwa mzee mwenye busara na...
  14. JamiiForums Tanzania Ardhi yako ni yako hata bila Hati? Rasimu hii inasema ndiyo, na inaweka Ukuta dhidi ya Unyang'anyi

    Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimpangisha Mpemba nyumba yako, mwisho wa siku anainunua?

    Katika wapangaji wazuri ni wapemba maana kwenye kodi wanalipa kwa wakati. Ila najiulizaga na nimeona sana sehemu nyingi,Mpemba akipanga nyumba yako au fremu na kama kaipenda. Anakufikia dau mwisho unashangaa unaiuza. Na kama kapanga kwako mpaka uje mkutoa basi mpaka ufanye visanga sana.
  16. JamiiForums Tanzania Sauti Yako, Skrini Yako..!Je, Maandishi Ndio Mwisho wa Mawasiliano?

    Ulimwengu wa voice notes unatawala mawasiliano ya kila siku kwa sababu unampa mtumiaji uwezo wa kufikisha hisia na lafudhi halisi ya maneno, jambo ambalo ni gumu kupatikana kwenye herufi baridi za maandishi. Kurekodi sauti kunapunguza migogoro ya kuelewana vibaya na kurahisisha utumaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Nauza kiatu, njoo na ofa yako

  18. JamiiForums Tanzania OFA: Nitakutengenezea Website ya biashara au Kampuni kwa 200,000 tu!

    Ndio sijakosea kwa Tsh.200,000 Tu utajipatia website ya kisasa ya biashara au kampuni yako. Ikijumuisha usajili wa jina la website Hosting ya mwaka mzima Utapata emails rasmi za website yako. Ndani ya siku 3 tu tayari utakuwa umeshapokea kazi yako. Mfano ya kazi ambazo nimeshatengeneza na...
  19. JamiiForums Tanzania Heshima ni bora kuliko zawadi. Mtu anaweza kukununulia kila kitu, lakini akikudhalilisha hadharani, amekupokonya thamani yako.

    Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Mtu yako katika Uhaminifu

    Leo nilipata nilipata nafasi ya kutafakari habari kutoka Njombe kutoka katika mitandao ya kijamii Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ujumbe ambao alikuwa anatoa alilielezea kisa cha kijana mmoja ambaye alipewa kazi ya kukusanya maparachichi kutoka kqa wakulima na mfanyabiashara wakiasia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…