This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT...
Baada ya tarehe 28 October, Tanzania hali ni shwari na yenye utulivu Watanzania tumemaliza Uchaguzi na Chadema wameshindwa Vibaya sana wamebaki kama Chauma.
Lissu nani alikudanganya kuwa utawaambia Watanzania Nendeni Barabarani nao watatoka. Washabiki wako wa mtandaoni wako Instagram wanapitia...
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji...
Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi.
Hawa ni wahujumu, wahujumu na wafitini ambao wanataka kuonesha kuwa Mh. Rais hatakiwi na hawezi shinda hivi hivi...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.
Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi...
RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho.
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
Ni muendelezo wa kukumbushiana tu kwamba nani kinara kwenye kila tasnia ukanda huu.
======
The performance is an improvement from position 717 last year in the ranking which tracks the health and wealth of the global banking sector. In 2018, KCB was ranked 809.
In what reaffirms the Bank’s...
Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu.
Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
Nimesikia baadhi ya viongozi wa CCM wakitupigia mahesabu ya wanachama walionao. Wameenda mbali wanatupostia kwenye mitandao kwamba kwenye jumla ya wapiga kura 29M eti wanachama wao ni 22M.
Niwaulize nyie vilaza, mmejuaje hao 22M ni wanachama wenu? Hamuoni kuna uwezekano kati ya wanachama wenu...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya J.K.T...
Huwaga naona aibu sana sana,yanapojitokeza mambo yanayoonyesha ni ukosefu wa elimu au WaTanzania hatufai kupewa dhamana ,na hii hali inayojitokeza ambayo matatizo yanatokana na Tume za uchaguzi ,kusema kweli yanatuchafua waTanzania wote kwa kiasi fulani.
Tume wangejiandaa kwa wizi sio...
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze.
Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread.
Stay tuned.
=====...
"Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa...
Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi.
Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi.
Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema...
Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama.
Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko.
Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
Habari,
Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo?
Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi?
Wanaume wasioweza kusema...
Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
Nec ijifunze democrasia kutoka kwa jabali la democracy Tanzania JPM. Akiwa Mwenyekiti wa CCM aliamuru kura zihesabiwe kwa uwazi kabisa mbele ya wajumbe kwenye mchakato wa kura za maoni kupata wabunge na madiwani.
Utaratibu huo umesaidia kuondoa malalamiko yoyote ya kuibiwa kura wakati wa...
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.