Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
Kama tukikubaliana na hoja ya ''kununuliwa'' ambapo viongozi wote wa Juu wa Balaza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wanaweza ''kununuliwa'' basi kuna tatizo kubwa nala msingi ndani ya chama ambacho kwa sasa kingekuwa ni chama kilichokabidhiwa mali za Taifa zima wazilinde na kuziendeleza kama...
Habarini wakuu!
Leo ngoja niandike kitu ambacho huenda kitaamsha ari ya viongozi wetu.
Binafsi mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma(Myao) ila nimekulia na kuzaliwa Liwale (Lindi).
Ulinzi wa hifadhi ile hasa kipindi cha masika ulikuwa duni. Hii ilisababishwa na poor infrastructure (barabara)...
Wakati utajiri wa Mark Zuckerbergs unafikia US $ 100 bn utajiri wa Genius Kadungure ulikua kati ya US$ 10-100 million. Vijana hawa walizaliwa mwaka mmoja. Mmoja akiwa mwanzilishi wa Facebook mwingine biashara zake nyingi hazikua zinajulikana.
Genius alimiliki magari ya kifahari na kuishi...
Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati nafasi.
Je, sisi Watanzania kupitia TFF hatuwezi kuona hii ni fursa ya sisi kuanza kuwashauri baadhi...
Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake.
Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...
Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong.
Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
Habari Wanajamvi
Serikali ya Ureno imewapatia wahamiaji wote waliokuwa wanaishi nchini humo bila vibali, vibali vya kuishi. Pia imeenda mbali na kuwapa wote ambao maombi yao yalikuwa processed pamoja na wale walionyimwa. Pia imehusisha asylum seekers wote. Na wote watapewa haki sawa kama za...
Habari wadau na wakereketwa wote wa elimu ya bongo.
Mimi ni kijana mwenzenu ambaye TCU ishanikatisha ndoto za kuwa daktari si bongo tu dunia nzima MD ina ushindani sana. TCU guide book imetudanganya sana mwaka huu maelfu ya watanzania wamepoteza pesa zao katika application na baadh ya...
Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa...
Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli.
Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
03 November 2020
CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi.
Katibu wa CCM...
Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki.
Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
NB...
Ikiwa bunge lijalo ni la CCM tupu na limetokana na kuua wapinzani wote porini (Tanzania) haya ndio madhara yanayoenda kutokea ambayo wayajuao ni wachache.
1. Wananchi kukosa wawakilishi wao bungeni. Wawakilishi kwa maaana ya watetezi wao, kwasababu wote waliopita kupitia CCM hawana ubavu au...
Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. Dkt. Magufuli utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka.
Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye maendeleo ya kweli ya kuwanufaisha Watanzania kutokana na kazi zao. Watanzania tusonge mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.