wote

  1. JamiiForums Tanzania Sababu Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kukwama tena Bungeni

    Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu. Muswada huo ulitegemewa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa pisi nyingi kuliko mwenye gari

    Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo. Yes mapenzi ya sasa ni pesa lakini lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea...
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Siku Maalum ya Waafrika wote 'Kujiombea' kwa Mwenyezi Mungu Ili tuwe na Akili

    1. Mfano kuna Taifa Moja (siyo Rwanda) Wananchi wake kwa sasa wameanza Kuchagua Timu za Kushangilia katika Kombe la Dunia lijalo wakati Wao hata Kufuzu tu AFCON ni shida na hapo hapo tena kuna Timu imefuzu Kombe la 'Luzaz' lakini Wanashangilia utadhani Wametinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kulazimisha vijana wawe wajasiriamali/ wajiajiri ni kuzidi kuwapoteza zaidi. Sio wote wanaweza

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana ikiambatana na huzuni. Hili tatizo la ajira ni karibu dunia nzima kwa sasa hasa Afrika. Ila tunachotofautiana ni namna ya kukabiliana na tatizo. Nchi nyingi za Afrika tunatumia mbinu za hovyo kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana. Wanasiasa, viongozi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

    Heshima kwenu wanajamvi. Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT. Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa. Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

    Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda niwamwagie salamu za pongezi timu ya Yanga SC, viongozi na mashabiki wake kwa ujumla kwa kufanikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Mtanzania nawatakia kila la Kheri Watunisia Wote kwa tukio lolote lile liliko Kwao leo

    Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
  9. JamiiForums Tanzania M-BET: Mdhamini pekee wa timu katika NBC PL mwenye furaha kuliko wote

    Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata marejesho lukuki. Katika msimu huu (2022/23); 1. M-BET imemwaga bilioni 1 Simba Queen. Kwa sasa Simba...
  10. JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

    "....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais." Tarimba. NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
  11. JamiiForums Tanzania Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

    Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu. Wengine jipangeni Wenyewe.
  12. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

  14. JamiiForums Tanzania DAR inatumia 50% ya Mkaa wote unaozalishwa nchini

    Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi. Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kufikia mwaka 2110 sisi wote hapa JF tutakuwa tumekufa

    Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini pamoja na jamaa zetu na marafiki zetu. Watu tusiowajua wataishi katika majumba na maeneo yetu. MALI zetu zooote zitamilikiwa na watu tusiowajua. Watu hao wala hawatotukumbuka. Hivi ni wangapi kati yetu wanaowakumbuka mababu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote Tanzania is impossible

    Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili. Uchumi...
  20. JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko wote JF?

    Wajameni nina swali. Who is the smartest person on JF? Yani genius, akili mingi, great thinker..kuliko wote. Nataka nimjue kipanga wetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…