wote

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nawashukuru wote mlionitakia heri ya kuzaliwa na siha njema

    "Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na utendaji bora, ninapoendelea na jukumu hili la kulitumikia Taifa letu kusonga mbele zaidi," Rais Samia.
  2. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya ambaye ndiye mzee kuliko wote Afrika ageuka kichekesho huko Marekani

    Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa Leadership Summit in Washington DC. Rais huyo mzee kuliko wote alijikuta akisahau mahali alipo punde...
  4. JamiiForums Tanzania Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

    Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke. Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

    Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako! Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo. Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
  6. JamiiForums Tanzania Nyimbo mbili bora za muda wote zinazopendwa kwenye baa za Tanzania

    Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini muziki nikiusikilizia Bar huwa ni mtamu zaidi ya kusikilizia nyumbani? Nyumbani nina Home Theatre nzuri ya Sony niliyonunua Dirham 1200 kule Deira, Dubai lakini huwa naona haitoi muziki mtamu kama ule wa Bar. Hata kinywaji cha Bar nadhani huwa ni kitamu kuliko...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kingai Pekee ndiye aliyeweza kupambana na Mbowe akishia kupandishwa cheo; wengine wote wameishia pabaya

    Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi waliokuwepo wakati ananyanyasika nao wametupwa nje Kwa fedhea. Walioitwa viongozi WA dola waliamini mfumo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

    Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu. Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu. Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu. Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
  10. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

    Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
  12. JamiiForums Tanzania Sheria itungwe watu wote wanaotumia Tecno, Infinix na Itel wawe wahujumu uchumi

    Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo. Jana tu kuna Jobless mmoja ambaye ni kabila moja kutoka Kanda ya ziwa amelipukiwa na simu moja hapo juu...
  13. JamiiForums Tanzania Jermain Defoe kiboko ya wanawake wote wapenda kitonga au mteremko

    Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe. Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za Sunderland,toronto,rangers na Bournemouth. Huyu bwana ameushangaza ulimwengu kwa ujumla baada ya kuthibitika kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wale wote wanaopigania ndoto zao

    Growth is outside the comfort zone.Don't quit.You quit,you lose,you fail.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dodoma karibu wote ni CCM ikiwemo watu wa kijiji cha Mpwayungu

    Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM. CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia katukumbusha kuwa Katiba Mpya ni dhana tu na mkachakato unapaswa kuwahusisha Watanzania wote

    Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema; Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

    Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
  18. JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  19. JamiiForums Tanzania Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote

    This picture speaks thousands words!. Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti. Wenyeviti...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna kitu wana JF hawakijui?

    Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…