wote

  1. JamiiForums Tanzania Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

    Good evening, Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? Namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Goma la kuombea msamaha kwa wale wote mliocheat babe zenu, hili hapa

    Kwa wale wote ambao mapenzi yao yapo ICU baada ya kucheat baby zenu. Goma la kueleweka la kuombea msahama kwa babe zenu hili hapa la mtu mzima Rick Ross ft Chris Brown- Sorry Rick Ross"Sorry" (with Chris Brown) (May-May-May) What is this? (May-May-May) Maybach Music I like this Maybach...
  3. JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

    Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB & Watengwa, Nako2Nako, Juakali, hadi hawa waliopo kwenye chati kina PMawenge. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa kupewa nini baada ya kurudisha mkopo wote benki?

    Habari, Naomba tuelimishane kuhusu mikopo ya bank kwa wafanyakasi na wafanya biashara. Pale umefanikisha kurudisha mkopo wao wote, wanatakiwa kukupa nini Je, utarudisha mkopo uondoke zako bila kupewa chochote, nauliza kwakua unapo chukua mkopo, unasign mikataba, unajaza fomu, unandika barua...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Uhuni cha UVCCM Chato kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi yetu

    Sielewi kwa nini hadi sasa jeshi la polisi halijachukua hatua zozote zile kuhusiana na kitendo cha kiharifu cha wale Vijana, sijui ni kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa hajakemea, na sijui ni kwa nini Viongozi wa Dini hawajajitokeza kukemea. Wako wapi wanaojiita viongozi wa vyama walinda amani...
  8. JamiiForums Tanzania Tujiunge kwenye vyama ambavyo vina mifumo ya utaifa kwanza, kwa wote tulioiasi au kuikataa CCM

    Ikumbukwe sisi watanzania,kabla ya mfumo wa upinzania kuanza sisi sote CHAMA chetu kilikuwa ni chama cha mapinduzi yaani ccm, baada ya vyama kufunguliwa ndipo kila mmoja wetu kwa akili zake akakimbilia pale anapoona panamstahili na panapoweza kumtimizia mawazo yake na malengo yake ya kisiasa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya bora kwa wote: Jinsi ya kufika malengo ya utawala bora

    Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika utoaji wa huduma za afya. Kuimarisha utawala bora kunahitaji ushirikishwaji wa wananchi, uwazi...
  10. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Waafrika wasusia hafla ya Urusi ambao miaka yote huhudhuriwa na viongozi wote wa Afrika

    Urusi ilitegemea kutumia hii hafla kuonyesha uungwaji mikono na dunia, ila imetengwa....na inazidi kutengwa na pia kupokea kichapo kutoka kwa kataifa kadogo jirani hapo.... Russian President Vladimir Putin had hoped for a record turnout of African leaders at his second Russia-Africa Summit...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wote Walio Karibu au Wana Uwezo wa Kumfikia Rais

    Wanao wajibu wa kumweleza rais ukweli wanavyouona wao kwa msukumo wa uzalendo wao kwa nchi yao. Maswala mazito, kama hili la Bandari yanapotokea nchini na kuwa na mwonekano wa kuwagawa wananchi katika makundi yanayovutanai, siyo mambo ya kunyamazia, hasa kwa viongozi wa ngazi za juu mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

    Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu.. Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia waislamu wote heri ya mwaka mpya

  15. JamiiForums Tanzania Sisi wote wageni hapa duniani, imekuaje unajiita "Life Coach"?

    Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinikera mno na kunishangaza, naona leo nikiweke hadharani. Kuna hawa viumbe wanaojiita Life Coach wamezidi kuongezeka sana town. Kimsingi ni Motivational Speakers ambao kwa sababu wanazozijua wao wameamua kujipa vyeo kwamba ni makocha wa maisha. Najiuliza maswali...
  16. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  17. JamiiForums Tanzania Wanasiasa bora wa muda wote toka upinzani

    Nionavyo mimi wafuatao ni wanasiasa bora wa muda wote kwa upande wa upinzani. Orodha hii itaanza na yule bora zaidi kushuka chini. 1. Hayati Maalim Seif Kila mmoja anakumbuka vizuri balaa la Maalim Seif kwenye siasa za nchi hii kutokea upinzani. Huwa najiuliza huyu dingi aliwapaga nini wazenji...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kama serikali inayosubiri kuingia madarakani, msimamo wa CHADEMA ni kwamba Mkataba huo ufutwe wote

    Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA wataka wote walioingiza nchi katika mkataba huu mbovu kuchukuliwa hatua

    akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…