wote

  1. Katibu wa BAWACHA Kigoma, Neema Mhanuzi achukuliwa kimabavu

    Kama hatouawa basi atafunguliwa kesi ya Uhaini Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, amekemea vitendo vya ukamataji holela, akieleza wasiwasi wake kuhusu tukio la kuchukuliwa kwa nguvu kwa Neema Mhanuzi, Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Kigoma, ambaye hadi sasa haijafahamika...
  2. Watu wajingajinga kama Nnape Nauye, wanajaribu Kumbagaza na kutumia TUNDU LISSU, ili wateuliwe Tena, Kwahiyo Nape Ulikua wapi wakati wote wa Kesi?

    Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?. Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
  3. Wanaojipa vyeo vya Mitume/ Nabii wote ni wahuni ni basi tu Afrika wajinga ni wengi kuliko werevu

    https://www.instagram.com/reel/DfbhYq0NVs4/?exln=MTN1MXlqdnk4YzhiaQ==
  4. M

    Watanzania achananeni na Wanaharakati feki akina Nuruvazi, tarehe watu wote tufike mahakamani

    Msiseme hamkuambiwa hawa wanaharakati wa tiktok akina Nuruvazi na wengine wengi ni assets wa TISS na CCM wamepewa kazi ya kukusanya taarifa na kuharibu Harakati na siasa za ukombozi. Hao vijana kazi yao ni kuharibu Harakati na kutengeneza visa kila wakati vuguvugu LA siasa na Harakati...
  5. R

    USA IS GREAT, WITHIN HOURS KURA ZOTE ZIMEHESANIWA NA WASHINDI NA WASHINDWA WOTE WAMERIDHIKA.

    Kweli tume yetu ya uchaguzi hamna la kujifunza? Within hrs. Matokeo yote yametoka! Hawajaiba maboksi ya kura wala kuua watu. Njooni hapa mtutawale mpaka tutakapokuwa WATU. SISI BADO MANYANI
  6. Kimsingi Godbless Lema hana ushawishi, hata apumzike yeye na Mbowe wahame wote Vijana hawawategemei

    Hamjambo wote! Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake. Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA. Huo ushawishi hana. LEMA ajue Chadema ndio...
  7. AMEPOTEA NA HAONEKANI: Nani asiyejua viongozi wote wa Dola( JWTZ, TISS,POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI)ni Mali ya CCM ?

    .
  8. K

    Kwanini single Mothers huwa wana mahasira muda wote?

    Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi. Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
  9. Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

    Sisi tuliosoma Saikolojia na wenye weledi wa kufuatilia siasa za kijiografia tumeelewa sana...! Nanyi wote mnaofuatilia eleweni kwa umakini.This is not just a message but its a major Geopolitical Message to the world and all those behind the scene. N.B: Canada voted vs cuba blockade!! KWA...
  10. Wazazi wa Civilian-Coin wote ni WA Tanzania; Baba na Mama ni WA Tanzania.

    Uvumi na upotoshaji ya kuwa baba ni mMarekani ni habari za uongo na so za kweli. Baba mzazi wa Civilian-Coin Nalimi Kisandu ambaye ni Nalimi Kisandu amezaliwa Busoka manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga(kabiia: Msukuma) na Mama mzazi (Bi. Laurencia Tundule-Msukuma) amezaliwa Kahama hapohapo. Na...
  11. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  12. Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

    Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha...
  13. KERO Tunauziwa maji machafu! DAWASA wote wafukuzwe kazi. Kuanzia Wafanyakazi hadi Bodi

    Nini hiki? Mtasema AI.
  14. Kanisa katoliki huadhimisha siku ya Marehemu wote yaani Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, kila mwaka tar.02 Nov, na sio ule unafiki wa teki.

    Siku ya Marehemu Wote inayojulikana Kilatini kama Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 November, ili kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwaombea waamini marehemu katoliki wote na waja wa Allah wote waliotangulia mbele ya haki. Mtakubaliana nami kwamba kilichofanyika...
  15. Kwenu Mliojisahau, kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana

    Kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana. Hasa pale wanasiasa walipoikamata Intelijensia na wasiochaguliwa pia waliotupwa mkono kikatiba wakaitawala serikali. Kikubwa taifa huanguka Hasa pale jeshi likikoma kuwa la wote, likawa la mmoja au kikundi fulani. Mwanazuoni...
  16. N

    Maria Sarungi acha utapeli na uongo njoo tushiriki wote maandamano

    Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe...
  17. Uganda na Rwanda wakiweza kufanikisha goma upande wote wa Congo basi Burundi na Kagera ni sehemu zao, mtanikumbuka!

    Mada zangu mnaona kama kichaa ila ukweli ndio huu. kwa sasa hawa pande hizi wamewekeza CCM na lile kusema kuna vikosi na majeshi yana toka huko mtabisha ila weka kumbu kumbukumbu. Kuna kitu CCM mtajialumu na huyu mtu kutoka UVCCM mwenye kauli tata zake za kuteka. Nchi inaenda kugawanywa na...
  18. Uwezi niamini ila iko hivi wapinzani wa Freeman mbowe wote watapewa kesi za uhaini

    Najua uwezi niamini ila ndio iko hivyo, wapinzani wa Freeman Samila suluhu Hassani wote watapewa kesi za uhaini kuanzia tundu Lisu,Heche na wale vijana wote waliompinga mbowe note my word.niko hapa sifi leo nasikiliza mziki wa injili kupitia star tivi hahahaha
  19. PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  20. M

    Naichukia sana CCM na wote wanaoishabikia

    Matatizo yote ya watanzania yamesababishwa na yanaendelea kusababishwa na CCM. Ndugu yangu ameenda Muhimbili akiwa anaongea anatembea ila amerudi kakatwa mkono, haongei na hatembei. Yaani uzembe wa madaktari umesababisha akatwe mkono na asiweze kuongea. Walimuwekea drip ya dawa ikawa inaflow...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…