wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

    Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu. Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
  2. JamiiForums Tanzania Acha kuumia,huwezi kuwafanya watu wafikiri kama wewe

    Siri ya Kuepuka Huzuni na Unyonge Kwenye Maisha: Punguza Matarajio Moja ya vyanzo vikubwa vya msongo wa mawazo na unyonge kwenye maisha ni tabia ya kutarajia watu wafikirie na kutenda kama unavyofikiria wewe. Tunapoweka matarajio makubwa kwa watu, tunajisahau kuwa uhalisia wa maisha yao na...
  3. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

    Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa. Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe. Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao. Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

    Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana. Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar]. Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar. Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane. Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
  5. JamiiForums Tanzania Jitahidi kujua anayekupenda kwa dhati na anayekupendea muonekano, kwani anayekupenda kwa dhati tu ndo anaweza kudumu na wewe milele

    Ladies punguza kuringa kuna siku utazeeka afu wale mahandsome au wenye hela unaowapenda waliokupendea sura watakuacha watahamia kwa pisi zingine za wakati huo, sa sijui utakua mgeni wa nani on those days😳 Na changamoto ni kwamba wale wanaowapenda kwa dhati mara nyingi hawanaga pesa currently...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
  7. JamiiForums Tanzania Japo Uchawi Upo, Wachawi Wapo na Wanaloga!, Anayeruhusu Kulogeka ni Wewe Mwenyewe!, Unaweza Kuzuia Kulogeka Kwa Imani! na Ukawa Hulogeki!.

    Wanabodi Japo uchawi upo na wachawi wapo na wanaloga!, anayeruhusu hicho kilogo kikufikie, au uchawi ukufikie, na kulogeka ni wewe mwenyewe bila kujijua, wewe unao uwezo wa kuzuia kulogeka bila kwenda kwa mganga yeyote au bila kutumia zindiko lolote bali ni kwa kujitambua tuu kwa kutumia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukichagua biashara uwe na malengo ya kuja kutengeneza kipato kuzidi muajiriwa, ukipata chini au sawa na muajiriwa wewe ni mtumwa kuzidi muajiriwa

    Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili. basi hio ndio iwe target yako. Watumisi hasa wa serikali wana uhakika wa misahara, posho na vidili...
  9. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Heche, kuwa makini na ulinzi wake, uchezi na jukwaa yeye anacheza na jukwaa wewe unasimama Kama mlingoti take care

    Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu, Take care kiapo chake ni either ufe au afe. Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Sisemi kitu Picha yenyewe inajielezea, angalia Picha kisha jaribu kujiuliza ungekua wewe ungefanyaje?

  11. JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta rasmi. Jina lake ni FIVERR. Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi. Fikiria una...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe kama kiongozi huoni aibu kutamka takwimu za deni la Taifa

    Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena . Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu inapotolewa ni kuongezeka kwa namba tu hivi wewe kama kiongozi huoni AIBU. Zaidi ya Trilion 100........
  13. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya namba 3,6,9 na kwa nini ukiweza kujua hizi namba wewe umekuwa universe?

    Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu. Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu. mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana. Mfano 3 kwa mwengine ikawa B. Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu . Mwanasayansi...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Kama wewe ni overthinker basi una akili sana… Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana… Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu. Lakini wewe? Akili yako inaenda mbali zaidi. Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
  15. JamiiForums Tanzania Unaamini katika dini Uislam/Ukristo budha/indu/wayahudi kuwa ukifa wewe sio dini flani hautaingia mbinguni

    Yess Kuna ile dini zinaamini kuwa wewe kama ukifa kama sio dini fulani hautaingia mbinguni, hautamuona M/Mungu na utaangamia milele motoni How dini zina ubaguzi kiasi hichi yaani waislamu pekee ndio wataingia peponi au wakristo/waisrael pekee ndio wataingia mbinguni, mtu wa dini tofauti...
  16. JamiiForums Tanzania Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe

    Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
  17. JamiiForums Tanzania Leo naomba niongee na wewe brother unaetaka kuoa. Ongea na wakubwa

    Kwanza naomba kwa nitakae mchukiza kwa hiki ninachoenda kukiandika hapa tusameheane ila nitasema ukweli na ukweli tupu sitosema uongo. Niende moja kwa moja, kwanza brother huyo binti au mwanamke kabla hujamuoa hakikisha unamjua vizuri nje ndani. Sio unamjua juu juu tu kisha unapapatika kutaka...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

    Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu. Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke. -Unampa kipaumbele zaidi yako -Unalia mbele yake -Upo emotional sana...
  20. JamiiForums Tanzania Kama unaitetea hii serikali wewe ni mnufaika wa udhalimu

    Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya. Wasomi wamekuwa washenzi wakuliangamiza taifa kwa vipande vya pesa mbaya zaidi umri wao wengine umesha kwenda,nguvu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…