wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wengine wooote kopeni isipokuwa Rais Samia asikope.

    Hata ukikopa utalipa na hela yako. Fedha za mikopo ni hela zako pia. Nilikuwa nikiwakataza wanafunzi wa vyuo wasiziite boom pesa wanazokopeshwa na bodi ya mikopo na kuzitumia ovyo maana hizo ni fedha zao, sehemu ya mishahara yao, watazirejesha. Unapokopa nyumba au Gari hizo ni hela zako lazima...
  2. JamiiForums Tanzania Makasisi, wanasiasa na ufundi wa kubishana kimaadili: Msiwapotoshe wengine mwaka 2022 na kuendelea

    Mtandao wa intanet ni wa hivi punde na katika mambo mengi ni njia ya mawasiliano yenye nguvu zaidi kuliko watangulizi wake, yaani, telegrafu, simu, redio na televisheni. Kwa watu wengi vyombo hivi vya habari vimeondoa hatua kwa hatua urefu wa muda na umbali wa kijiografia kama vizuizi vya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Umakini na kujali wengine vitasaidia kutokomeza Covid-19

    Fadhili Mpunji Katika kipindi cha kuelekea sikukuu ya Krismas kumetokea wimbi kubwa la maambukizi ya COVID-19 katika bara la Ulaya na Amerika ya kaskazini hasa Marekani. Wimbo hili limetajwa kutokana na virusi vya aina mpya vya Omicron, ambavyo vimetajwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Krismasi ni sikukuu ya wote, tutoe kwa wengine na tushereheke pamoja. Merry X-Mas!

    Wanabodi, Hizi ni salamu zangu za Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa kwa ajili ya Krisimasi kwa Wanabodi wetu. Merry Christmas And Happy New Year!. Japo makala hizi ni za lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kwa vile kesho ni sikukuu ya Krisimasi ni sikukuu ya kutoa, ili kuwezesha na wengine...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lissu, Maria na Wengine Ulinzi Uimarishwe

    Baada ya kupata wasaa wa kutosha kuzisikiliza hoja zote kutoka Maria Space aliyojumuika pia Mh. CJ: Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20 Yafuatao ni maoni yangu: 1. Kwa weledi, ufahamu na kujitoa kwake, Mh. Lissu ni mtu muhimu sana kwa nchi hii. 2. Maria Sarungi kwa uwezeshaji wake ni...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwasemee na wale wengine wanaoozea mahabusu kwa 'ugaidi wa michongo'

    Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza kufanyika hivi kwa mtu mkubwa kama Mbowe, vipi hali zetu sisi wa kawaida? Hata hivyo, wakati tukishinikiza...
  7. JamiiForums Tanzania Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  8. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Kenya wa kuruka kwa miavuli wameonyesha ugwiji wao. Mambo ya kushuka kwa kamba tumewaachia wengine.

    Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi. Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa. Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mambo watu wanayapitia ili wengine wajifunze

    Nimeiona hii kitu mahali, inaweza kuwafunza wengine humu. Na. Irene Mbowe Wasichana mlio kwenye Ndoa natamani sana mambo yafuatayo muyaishi na kuyazingatia; Jitahidini kuwaheshimu waume zenu ili Ndoa ziwe na Amani na Furaha. Unajua wengi mnasemaga, ‘Maisha...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa! Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe. Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo. Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli Twitter imefunga account za watu wengine Tanzania?

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Sergey Ryabkov akisisitiza hitaji la Rais Putin na Kiongozi Mkuu wa Kisoshalisti Joe Biden kufanya mazungumzo ya dharura, naye akisema: “Mawasiliano yanahitajika sana, tuna matatizo yanayoongezeka...Hakuna maendeleo katika masuala ya nchi mbili, ambayo yanazidi na...
  14. JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

    Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi. Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Watu huchochea watu wengine watende mambo mabaya

    Unaweza kua mtu mwema, unafanya mambo yako vizuri, unafurahia maisha lakini mtu ama watu wakasababisha ukafikiria kufanya kitu ambacho hujawahi kukifikiria. Watu wanaweza kusababisha mtu ufikirie kutenda mambo mabaya sana kwenye maisha yao. Kuna mtu nilifanya nae kazi, nikamfanyia kazi yake...
  16. JamiiForums Tanzania Mapara A Jazz yawezekana wakawa cheap zaidi kulinganisha na wasanii wengine maarufu kutoka South Africa?

    Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba. Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla. Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
  18. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

    Tuache ushamba aisee. Puliza pafyumu au body spray inayokufaa wewe wewe peke yako within your own perimeters aisee. Inakera sana. Uzi tayari.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Hivi kwanini Walimu hupanda Madaraja bila kusoma ilhali Watumishi wengine wa Umma hawapandishwi?

    Wapo Watumishi wasiopanda Vyeo wakiambiwa hawajasoma Kozi Fulani kwa miaka 20 tangu waajiriwe. Wanafanya kazi kwa Ufanisi wanajaza OPRAs lakini hakuna cheo wala Kuongezwa Mshahara. Huwa wanahusishwa tuu kwenye Scheme of Service zikifanyiwa marekebisho. Hivi Utumishi hawaoni haja ya kuhoji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…