wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

    Waziri wa OR-TAMISEMI akihojiwa na Clouds Media amesema... Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani. Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara ya madaktari na watumishi wengine wa afya katika hospitali za umma inalipwa na nini?

    Swali hili linaniumiza sana kichwa. Je watumishi hawa wa sekta ya afya mishahara yao inalipwa na bima ya afya au ni kutokana na bajeti kuu ya serikali inayotokana na kodi mbalimbali? Kama mishahara yao inatokana na bima ya afya basi serikali haina budi kurekebisha, mishahara ilipwe kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO mnachonifanyia sijapenda kabisa na sitopenda muwafanyie wengine

    Zimepita siku nne sasa tangu luku yetu tunayotumia ishindwe kuruhusu umeme kutumika kwenye nyumba yangu Nimetumia taarifa mapema kabisaa, pale tuuh luku Yao ilipojizima bila ya tatizo lolote. Nikawaambia kupitia huduma Kwa wateja kuwa""jamani luku yenu imezingua, umeme hauruhusiwi, luku...
  4. JamiiForums Tanzania Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

    Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza. - "Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
  7. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

    Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee... Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk. Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Uislamu uheshimiwe kuanzia ndani, kabla ya kuheshimiwa na wengine

    Amani iwe nanyi Ndugu zangu Waamini wa dini ya Kiislamu. Pokeeni Salamu kutoka kwa Ndugu wa Imani ya Mungu mmoja kwa muongozo wa Injili Takatifu na Mjumbe wake Yesu Kristo. Mimi ni shuhuda wa wazi wa Imani yenu kwa sababu, Uungwana wenu umenipa fursa ya kuijua imani yenu Takatifu na kujifunza...
  9. JamiiForums Tanzania Jifunze utulivu wa fikra hasa kwenye kupokea habari yoyote hususani kuhusu wengine

    Habarini nyote, Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu. Tutende haki ya...
  10. JamiiForums Tanzania Putin Crew: Msaada kwa majina ya hawa watu wengine

    Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa kafa. Naomba niwajue na hao wengine na sifa zao maana inaonekana hii team ndo mafia wa russia...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

    Hasa kwa wale wanaoishi na mke ama / na watoto wadogo. SILAHA ZANGU 1. FIRIMBI firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga. 2. MANATI Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajenzi na mafindi wengine. Pipe za 10mm napataje?

    Kwema wazee? Jamani natafuta pipe za plastic za 10mm lakini kwenye ma kardware kyna za 12mm na zaidi. Je pipe za plastic za 10mm naweza pata wapi dar? Na je zinatimika kwa kazi gani?
  13. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika humu ila mlimezea, leo mnalalamikia wengine

    Mwaka jana 2022 Rais wa Zanzibar aliwahi kusema kuwa "ataongea na rais mwenzake wa Tanzania waone jinsi wanavyoweza kuanzisha mfuko wa mahujaji", mwisho wa kunukuu. Niliandika kuhoji ni vipi serikali itumie pesa za watanzania kwa ajili ya kundi moja kwenda Hija Macca! Ambao wangefaidika na pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Anayelengwa ni Mwabukusi, hao wengine ni Gelesha tu

    Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake. Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa irrigation na wadau wengine Naomba maoni yenu hapa.

    Habari za asubuh . Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji , Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji katika kupungaza kutegemea maji ya mvua(kilimo Cha mvua) , nataka nichimbe bwawa kwa ajili ya kuvunia...
  16. JamiiForums Tanzania Lamama uliependwa na Mwamba, ukam dang dang Kwa machalii wengine, umemwuumiza Sana kijana wetu kimapenzi...

    Jamaan WiFi yangu kokote ulipo unaeitwa Lamama naomba uje Kijana wangu amekupenda kimapenzi lakini umemwacha solemba anaumia kimapenzi Lamama kokote ulipo ntakuita njoo. NYUZI ZINGINE BY ME 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi 2. Haijalishi...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiwa na sifa hizi wewe ni mjivuni , unaringa, na unajiona bora kuliko wengine

    20 WAYS TO KNOW WHEN YOU ARE ARROGANT Arrogance destroys glory, it is more deadly than cancer. One might be arrogant without even knowing, that is why there's need to read through this points carefully and observe areas that needs to be worked upon for positive change: 1. When you cannot...
  18. JamiiForums Tanzania Siamini katika Karma, Watu wengi wamewafanyia ubaya wengine na wanazidi kupasua anga

    Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya. (Malipo hapahapa Duniani) Binafsi siamini katika hili, nahisi ni imani tu iliwekwa ili kupunguza uovu, ila kiuhalisia mambo ni tofauti Nakumbuka kulikuwa na wababe wale waonezi...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  20. JamiiForums Tanzania Si kila anaeenda dukani anatafuta pesa, Wengine wanaenda sababu wamechoka kukaa nyumbani, auze asiuze bado atakuja na gari na kula vizuri

    Katika sehemu nilizowahi kufanya biashara nimewahi kukutana na haya, Sehemu ya kwanza kulikuwa na frem laki 3, mmama flani akaja akaweka vi choclate na vineti vya mbu yani hata wateja kwenda pale ni nadra, ila kila siku anakuja na gari yake ya apha na ananunua chakula kwa order ugali kuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…