wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

    Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza. - "Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
  4. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

    Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee... Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk. Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo...
  5. Diwani

    JamiiForums Tanzania Uislamu uheshimiwe kuanzia ndani, kabla ya kuheshimiwa na wengine

    Amani iwe nanyi Ndugu zangu Waamini wa dini ya Kiislamu. Pokeeni Salamu kutoka kwa Ndugu wa Imani ya Mungu mmoja kwa muongozo wa Injili Takatifu na Mjumbe wake Yesu Kristo. Mimi ni shuhuda wa wazi wa Imani yenu kwa sababu, Uungwana wenu umenipa fursa ya kuijua imani yenu Takatifu na kujifunza...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Jifunze utulivu wa fikra hasa kwenye kupokea habari yoyote hususani kuhusu wengine

    Habarini nyote, Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu. Tutende haki ya...
  7. Termux

    JamiiForums Tanzania Putin Crew: Msaada kwa majina ya hawa watu wengine

    Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa kafa. Naomba niwajue na hao wengine na sifa zao maana inaonekana hii team ndo mafia wa russia...
  8. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

    Hasa kwa wale wanaoishi na mke ama / na watoto wadogo. SILAHA ZANGU 1. FIRIMBI firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga. 2. MANATI Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajenzi na mafindi wengine. Pipe za 10mm napataje?

    Kwema wazee? Jamani natafuta pipe za plastic za 10mm lakini kwenye ma kardware kyna za 12mm na zaidi. Je pipe za plastic za 10mm naweza pata wapi dar? Na je zinatimika kwa kazi gani?
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika humu ila mlimezea, leo mnalalamikia wengine

    Mwaka jana 2022 Rais wa Zanzibar aliwahi kusema kuwa "ataongea na rais mwenzake wa Tanzania waone jinsi wanavyoweza kuanzisha mfuko wa mahujaji", mwisho wa kunukuu. Niliandika kuhoji ni vipi serikali itumie pesa za watanzania kwa ajili ya kundi moja kwenda Hija Macca! Ambao wangefaidika na pesa...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Anayelengwa ni Mwabukusi, hao wengine ni Gelesha tu

    Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake. Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa...
  12. Zacht

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa irrigation na wadau wengine Naomba maoni yenu hapa.

    Habari za asubuh . Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji , Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji katika kupungaza kutegemea maji ya mvua(kilimo Cha mvua) , nataka nichimbe bwawa kwa ajili ya kuvunia...
  13. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Lamama uliependwa na Mwamba, ukam dang dang Kwa machalii wengine, umemwuumiza Sana kijana wetu kimapenzi...

    Jamaan WiFi yangu kokote ulipo unaeitwa Lamama naomba uje Kijana wangu amekupenda kimapenzi lakini umemwacha solemba anaumia kimapenzi Lamama kokote ulipo ntakuita njoo. NYUZI ZINGINE BY ME 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi 2. Haijalishi...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sifa hizi wewe ni mjivuni , unaringa, na unajiona bora kuliko wengine

    20 WAYS TO KNOW WHEN YOU ARE ARROGANT Arrogance destroys glory, it is more deadly than cancer. One might be arrogant without even knowing, that is why there's need to read through this points carefully and observe areas that needs to be worked upon for positive change: 1. When you cannot...
  15. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Siamini katika Karma, Watu wengi wamewafanyia ubaya wengine na wanazidi kupasua anga

    Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya. (Malipo hapahapa Duniani) Binafsi siamini katika hili, nahisi ni imani tu iliwekwa ili kupunguza uovu, ila kiuhalisia mambo ni tofauti Nakumbuka kulikuwa na wababe wale waonezi...
  16. genius mvivu

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  17. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Si kila anaeenda dukani anatafuta pesa, Wengine wanaenda sababu wamechoka kukaa nyumbani, auze asiuze bado atakuja na gari na kula vizuri

    Katika sehemu nilizowahi kufanya biashara nimewahi kukutana na haya, Sehemu ya kwanza kulikuwa na frem laki 3, mmama flani akaja akaweka vi choclate na vineti vya mbu yani hata wateja kwenda pale ni nadra, ila kila siku anakuja na gari yake ya apha na ananunua chakula kwa order ugali kuku...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wengine huwa hatupashi viporo

    Kwema Wakuu! Kwa kweli sisi wengine tukiachana ndio tumeachana moja Kwa moja. Hakuna kitu ambacho kinaniudhi na kunifanya niwe mkali kama binti niachane naye halafu baada ya miaka miwili aniletee shobo na pigo za kipumbavu pumbavu. Tukishaachana tumeachana, mazoea ya kujifanya sijui marafiki...
  19. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

    Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza. Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa Walinzi wa Raila Odinga na viongozi wengine wa Upinzani

    Uamuzi huo unakuja muda mfupi baada ya Odinga kutangazia Wananchi kuwa wajiandae kwa Maandamano ya Kimapinduzi kuanzia Julai 19, 2023, Maandamano ambayo yamepata pia kibali cha Mahakama. Kwa mujibu wa taarifa, Askari 10 wanaomlinda Odinga na wengine wanaolinda Makazi yake jijini Nairoi, Kisumu...
Back
Top Bottom