waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Waziri Mkuu: Mkandarasi wa barabara Ilongero kutangazwa mwezi huu

    Ndani ya mwezi huu huu, muwe mmeshatangaza kupata mkandarasi wa kuanza kujenga hizi kilomita 11 za awali ambazo zitaziba hili pengo kuanzia hapa mpaka kwenye lami na kupita kidogo mji wa Ilongero-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo...
  2. Zack Abdul

    Waziri Mkuu Atoa Wito: Tahadhari Mafuriko

    Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo wakati...
  3. H

    Mkurugenzi Bahi amkabidhi Bi. Maseka milioni 2.6 kufuatia maagizo ya Waziri Mkuu

    MKURUGENZI BAHI AMKABIDHI BI. MASEKA MILIONI 2.6 KUFUATIA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Albina William Mtumbuka, leo amemkabidhi Bi. Agnetha Maseka kiasi cha Shilingi milioni 2.6 Fedha hizo ni malipo ya madai ya huduma ya chakula pamoja na...
  4. Echolima1

    Katika kusherehekea Mwaka mpya wa kiyahudi Waziri Mkuu wa Israel atembelea Makao MAKUZI ya Mossad!!!

    Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema alitembelea makao makuu ya Mossad na kukutana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhusu usalama wa Israeli. Netanyahu alitoa wito wa sehemu ya Torati ya wiki hii, akitoa wito wa "kuwa hodari na jasiri," na akasema, "Hiki ndicho...
  5. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  6. H

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  7. R

    Waziri Mkuu, Mwigulu: Msijichukulie chombo cha mtu anachofanyia kazi, waachieni waendelee na kazi walipe faini

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekemea ukamataji holela wa vyombo vya moto, huku akisisitiza kuwa ni bora zaidi kutoza faini na kumuachia muhusika chombo chake ila aweze kutafuta faini na kuilipa. Ameyasema hayo leo Septemba 5, 2026, wakati akizungumza na wananchi wa Bahi, Mkoani Dodoma...
  8. Hismastersvoice

    Waziri Mkuu tembelea Mbagala biasi Temeke uone Manispaa ilivyoziba Mitaro ya Maji ya Mvua

    Katika hali ya kushangaza, wakati manispaa zinatakiwa zisafishe mitaro ya maji ya mvua, manispaa ya Temeke imeamua kuziba mitaro hiyo ya Mbagala Rangitatu Biasi ili maji yasambae barabarani! Nini kitatokea wakati wa mvua za El Nino tusubiri tuone utafiti huu mpya.
  9. R

    Dkt Mwigulu: Tusichanganye Bima ya Afya kwa wote na TASAF, kila Mtanzania atumie kipato alicho nacho kuunga mkono, Serikali imeshaweka Bilioni 48

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania wote kutofautisha kati ya mpango wa Bima ya Afya kwa Wote na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), akisisitiza kuwa mfumo wa bima ya afya sio mpango wa misaada bali unahitaji ushirikiano na uchangiaji wa kila mwananchi mwenye uwezo ili...
  10. Zack Abdul

    Dkt Mwigulu: Serikali kuendelea kutafuta vyanzo vya mapato kuongeza wigo wa wanufaika, Bima ya Afya si TASAFU kwamba kusaidia wasiojiweza

    Bima ya afya ni kwa wote. Maana yake, kila Mtanzania ashiriki kukata bima ya afya, na kupitia programu hii ndipo tutakapoweza kuwa na bima ambayo ni jumuishi, ambayo haitaacha mtu nyuma-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Septemba 03, 2026 Amesema hayo wakati akijibu swali la...
  11. Zack Abdul

    Waziri Mkuu Afungua Kongamano la 5 la Kitaifa Dodoma

    https://www.youtube.com/live/XCDPRo8_24s?si=IW7oNMtLDpnRMsbH LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo September 03,2026 ni Mgeni Rasmi ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kitaifa Ushiriki wa Watanzania. Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa mikutano wa PSSSF, Makole jijini Dodoma
  12. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
  13. H

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  14. Mohamed Said

    Waziri Mkuu Anasema...

    https://youtu.be/tnZ17-mofYo?si=7ZDvTZvBUmaI6t-b
  15. H

    Waziri Mkuu atoa maelekezo Katavi (Barabara, Umeme na Maji)

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa maelekezo kwa viongozi wa Mkoa wa Katavi na mamlaka husika kuharakisha utekelezaji wa miradi ya barabara, maji na umeme, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kupata huduma hizo kwa wakati. 📍Mpanda-Katavi 🗓️ Agosti 30, 2026 ———————————————— Amesema hayo...
  16. H

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda - Katavi. 🗓️ Agosti 30, 2026. ————————————————...
  17. Yoda

    Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  18. Zack Abdul

    LIVE: Waziri Mkuu Nchemba Katika Jubilei Miaka 25 Mpanda

    https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
  19. H

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
  20. H

    Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Soma Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais 📍Bungeni-Dodoma 🗓️Agosti 27, 2026
Back
Top Bottom