Asema mikakati ya maendeleo ya sekta iwe na matokeo yanayopimika
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameitaka Wizara ya Uchukuzi, Wizara ya Ujenzi na taasisi zake kuhakikisha tathmini, mipango na uwekezaji katika sekta ya hiyo vinaendana na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050...
Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani
Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 12, 2026, amewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, ambapo anatarajiwa kufungua Mkutano wa Sita wa Kimataifa kuhusu Ubora wa Elimu (IQEC).
TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu. Serikali itakapoanza kupokea miradi mipya, maandalizi ya barabara hizi yawe yamekamilika. Kipaumbele chetu ni barabara zinazofungua maeneo ya uzalishaji.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶...
Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢
🗓️ Novemba 11, 2026
📍 Segese...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
elimu
madini
masomo
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
sababu
uchimbaji
uchimbaji madini
watoto
watoto wetu
waziriwazirimkuu
Mkazi wa Manispaa ya Kahama, Jackson Mkama, amemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kurejesha adhabu ya viboko shuleni, akidai kuwa kuondolewa kwa adhabu hiyo kunaweza kuchangia kupungua kwa nidhamu na maadili miongoni mwa wanafunzi.
Mkama ametoa ombi hilo wakati akichangia katika mkutano...
Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya.
Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni.
Kwa mujibu wa matokeo ya...
baada
bila
bungeni
hana
israel
kiongozi
kukosekana
kuongoza
kushikilia
kuwa
madaraka
mkuu
mpya
muafaka
nchi
ndogo
netanyahu
nguvu
rais
serikali
uchaguzi
viti
vyama
waziriwazirimkuu
zaidi ya
Kuna clip inatembea mtandaoni mwananchi anamwambia waziri Mkuu" Mh waziri Mkuu Mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini " je ni aibu?je waziri Mkuu anaweza kumwambia rais hiyo kauli?
Je rais aliipokea kauli hiyo?
Tanzania.
Waziri Mkuu wa Iraq Ali al-Zaidi aliwaambia viongozi wa Mfumo wa Uratibu wa Washia kwamba alikuwa amepitia sehemu za mpango wa kijeshi wa Marekani uliovuja uliowasilishwa kwa Rais Donald Trump ambao ulielezea matukio 3 yanayowezekana, ikiwa ni pamoja na uvamizi wa ardhini wa Marekani kusini mwa...
𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔
Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake.
Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
Israel imepoteza ushawishi mkubwa duniani kote, kiasi kwamba hata Wayahudi wa Marekani wanapinga serikali hiyo ya Kizayuni.
Hatua za wanasiasa wa Israel za kufanya mauaji ya kikatili pale Gaza, imepelekea Wayahudi wengi kuchukiwa na kutukanwa na hata kupigwa huko Ulaya na Marekani, kwani sasa...
Leo nimewasilisha hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13, jijini Dodoma, nikisisitiza uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na utekelezaji wa maazimio ya Bunge.
Fedha za umma ni kodi za wananchi. Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tutaendelea...
Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali.
Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
Leo katika kikao cha Bunge la 13 mheshmiwa Ado Shaibu ameuliza kwa ukaribu kwa Waziri Mkuu kuhusu katiba mpya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amejibu kuhusu swali la Ado Shaibu na kusema “hoja ya Ado Shaibu sio hoja mpya, serikali imetoa tamko mara kadhaaa na ni hoja ambayo ina uzito na umuhimu...
Habari zenu wana-jamvi,
Kama kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukaa kwake mbele ya mic na kamera hakuachi watu salama au bila jambo la kujadili. Safari hii amekuja na utani mwingine mzito uliowasisimua wengi kimataifa.
Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni na kituo cha runinga cha Fox...
Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
bara
kutokana
mkubwa
mkuu
muhimu
mustakabali
mwigulu
mwigulu nchemba
pamoja
uwezo
vijana
waziriwazirimkuuwazirimkuu mwigulu
wazirimkuu mwigulu nchemba
▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana
▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi.
Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.