waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Waziri mkuu kumwakilisha rais Dkt. Samia mkutano wa Afrika na Urusi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026, ameelekea Moscow, nchini Urusi, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi utakaofanyika Oktoba 28–29, 2026. Mkutano huo utakaowakutanisha viongozi wa...
  2. Echolima1

    Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

    Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu: 1. Alirejesha mateka wote. 2. Alimwangamiza Nasrallah. 3. Alimwangamiza Yahya Sinwar. 4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh. 5. Alimwangamiza Mohammed Deif. 6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya...
  3. Zack Abdul

    Mwigulu akemea vitendo vya kujichukulia sheria mkononi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuvielekeza vyombo vya dola kuchukua hatua stahiki na kali kwa wote watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo. Aidha, Waziri Mkuu amewataka viongozi katika ngazi za vijiji na kata...
  4. Zack Abdul

    waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  5. H

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  6. H

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya - Waziri Mkuu Nchemba

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya chakula. Na zaidi ya yote, tuwekeze katika uwezo wa kilimo barani Afrika. Kwa kweli, kabla ya njaa haijatushinda, tuchukue hatua, tuwekeze na tuvumbue pamoja. Tujenge...
  7. Zack Abdul

    Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  8. Wizara ya Ardhi

    Bagamoyo: Serikali yatekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu kutatua changamoto za Wananchi

    Utekelezaji wa maelekezo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuhusu changamoto zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano uliofanyika tarehe 16 Oktoba 2026, unaendelea kwa vitendo Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Wataalamu wa sekta ya Ardhi...
  9. Zack Abdul

    Waziri Mkuu ateta na Makamu wa Rais wa IFAD

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Dkt. Geraldine Mukeshimana na kujadiliana naye masuala ya kilimo, uvuvi na uchumi wa bluu. Mazungumzo hayo yalifanyika jana (Jumanne, Oktoba 20, 2026) kando ya Mkutano wa Kimataifa...
  10. Zack Abdul

    Waziri Mkuu akutana na mshindi wa tuzo ya chakula duniani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na mshindi wa Tuzo ya Chakula Duniani ya mwaka 2026, Bw. Huub Lelieveld, Oktoba 20, 2026, katika ukumbi wa Iowa Events Center, jijini Des Moines, nchini Marekani. Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amemweleza hatua zinazochukuliwa na...
  11. H

    Waziri Mkuu awasili Marekani kumwakilisha Rais Samia katika mkutano wa Boralaug

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗠𝗪𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗕𝗢𝗥𝗟𝗔𝗨𝗚 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa...
  12. Zack Abdul

    Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mkutano wa kimataifa wa Norman E. Borlaug Marekani

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Jumamosi, Oktoba 17, 2026, kuelekea jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug...
  13. C

    Vijana wameanza kuandamna Albania kushinikiza waziri mkuu Edi Rama kujiuzulu

    Maelfu ya vijana nchini Albania wameingia mitaani katika Mji Mkuu wa Tirana kwa siku ya nne mfululizo , wakishinikiza kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Edi Rama kufuatia kuongezeka kwa ghasia na kutoridhishwa na usimamizi wa serikali. Maandamano hayo yaliyoanza kwa amani miezi kadhaa iliyopita...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Maelfu ya vijana nchini Albania wameandamana katika mji mkuu wa Tirana, wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu

    Maelfu ya vijana nchini Albania wameandamana katika mji mkuu wa Tirana siku ya Ijumaa, huku baadhi yao wakivunja vioo vya madirisha na taa za barabarani, katika siku ya nne ya kampeni ya maandamano yanayoongozwa na wanafunzi na yanayozidi kuwa na vurugu, wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu...
  15. Mikopo Consultant

    Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
  16. Zack Abdul

    Waziri mkuu apigia chapuo usafiri rahisi Afrika

    ▪︎ Ahimiza kuunganisha usafiri wa majini na njia nyingine za usafirishaji WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka nchi za Afrika kuimarisha miundombinu ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo moja kwa moja ili kupunguza muda wa kusafirisha mizigo na kuwawezesha wananchi kufikia masoko kwa...
  17. Dalton Elijah

    Waziri mkuu wa yemen Shaya Mohsen al-Zindani na mawaziri wako salama baada ya shambulio la anga

    Serikali ya Yemen imesema Waziri Mkuu wa nchi hiyo pamoja na wajumbe wote wa Baraza la Mawaziri wako salama kufuatia shambulio la makombora linaloshukiwa kufanywa na waasi wa Houthi katika eneo la Ikulu ya Rais, mjini Aden. Waziri wa Habari wa Yemen, Moammar Al-Eryani, amesema kupitia mtandao...
  18. Zack Abdul

    Waziri Mkuu Dkt. Nchemba Bagamoyo

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 🕰️ 4:00 Asubuhi. 📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  19. H

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
  20. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
Back
Top Bottom