waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Vijana wameanza kuandamna Albania kushinikiza waziri mkuu Edi Rama kujiuzulu

    Maelfu ya vijana nchini Albania wameingia mitaani katika Mji Mkuu wa Tirana kwa siku ya nne mfululizo , wakishinikiza kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Edi Rama kufuatia kuongezeka kwa ghasia na kutoridhishwa na usimamizi wa serikali. Maandamano hayo yaliyoanza kwa amani miezi kadhaa iliyopita...
  2. Maelfu ya vijana nchini Albania wameandamana katika mji mkuu wa Tirana, wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu

    Maelfu ya vijana nchini Albania wameandamana katika mji mkuu wa Tirana siku ya Ijumaa, huku baadhi yao wakivunja vioo vya madirisha na taa za barabarani, katika siku ya nne ya kampeni ya maandamano yanayoongozwa na wanafunzi na yanayozidi kuwa na vurugu, wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu...
  3. Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
  4. Waziri mkuu apigia chapuo usafiri rahisi Afrika

    ▪︎ Ahimiza kuunganisha usafiri wa majini na njia nyingine za usafirishaji WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka nchi za Afrika kuimarisha miundombinu ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo moja kwa moja ili kupunguza muda wa kusafirisha mizigo na kuwawezesha wananchi kufikia masoko kwa...
  5. Waziri mkuu wa yemen Shaya Mohsen al-Zindani na mawaziri wako salama baada ya shambulio la anga

    Serikali ya Yemen imesema Waziri Mkuu wa nchi hiyo pamoja na wajumbe wote wa Baraza la Mawaziri wako salama kufuatia shambulio la makombora linaloshukiwa kufanywa na waasi wa Houthi katika eneo la Ikulu ya Rais, mjini Aden. Waziri wa Habari wa Yemen, Moammar Al-Eryani, amesema kupitia mtandao...
  6. Waziri Mkuu Dkt. Nchemba Bagamoyo

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 🕰️ 4:00 Asubuhi. 📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  7. H

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
  8. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  9. H

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 🕰️ 4:00 Asubuhi. 📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  10. Waziri Mkuu Nchemba Rukwa Kilele cha Mwenge

    Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  11. Waziri Mkuu: Kujenga ustahimilivu dhidi ya maafa ni wajibu wa kila mmoja

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kujenga ustahimilivu dhidi ya maafa ni wajibu wa pamoja unaohitaji ushiriki wa serikali, sekta binafsi na jamii, akisisitiza umuhimu wa maandalizi kuanzia katika ngazi ya kaya. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Oktoba 13, 2026, wakati akitoa tamko la...
  12. Bashite ananikumbusha Waziri Mkuu katili wa Ethiopia, Mengistu Haile Mariam

    Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii mengistu haile mariam hakua na akili za...
  13. I

    Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
  14. Waziri mkuu azungumza na diaspora Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora). Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo...
  15. Waziri Mkuu ashiriki ibada kanisa kuu Anglikana - Uingereza

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada hiyo imeongozwa na Kasisi Paula Hollingsworth. Mara baada ya kuwasili kanisani hapo, Waziri Mkuu alipokelewa na Mshauri wa Askofu...
  16. Aliyemrithi ubunge Keir Starmer, waziri mkuu mstaafu Uingereza.

    Sagal Abdi-Wali
  17. Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  18. Waziri Mkuu aongoza kikao uongezaji thamani madini adimu

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani ya madini adimu (critical minerals) badala ya kuyauza katika hali ghafi. Amesema hayo leo (Jumatano, Oktoba 7, 2026) wakati akipokea taarifa ya Utafiti ya...
  19. H

    𝗪aziri Mkuu aongoza kikao uongezaji thamani madini adimu

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗢 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗧𝗛𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗗𝗜𝗡𝗜 𝗔𝗗𝗜𝗠𝗨 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani ya madini adimu (critical minerals) badala ya kuyauza katika hali ghafi. Amesema hayo leo (Jumatano...
  20. Waziri Mkuu wa Tanzania awasili Uingereza

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…