wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  2. JamiiForums Tanzania Rombo: vibinti vidogo kurubuniwa kutoka Kwa wazazi na kwenda kuuza Bar mpakani

    Vibinti vidogo umri chini ya miaka 17, wamekuwa wakirubuniwa na baadhi ya wafanyabiashara waliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania na kwenda kuuza Bar. Maeneo haswa yanayotajwa kushamiri kuwa na wimbi la mabinti wadogo wanaouza Bar ni Tarakea na Mashati Watoto hao wamesena kuwa wafanyabiashara...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awakomba Maelfu ya Vijana Mitaani Na kuwapa Ajira Nono serikalini. Ni Tabasamu na Furaha tu kwa vijana na Wazazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana kila sababu ya kusema asante Mama kwa moyo wako wa upendo na huruma kwa vijana . Mama na Rais wetu...
  5. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

    Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini! Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu. Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwaeleza wazazi wako kiasi cha mshahara unachopokea?

    Wakuu, nimepata kazi! 🎉 Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.” Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye kazi miaka 20-40 si miaka ya kuishi kwa wazazi au kulelewa na mtu Fulani

    Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani. Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Agnes Marwa awaasa wazazi kusema na vijana wao

    AGNES MARWA AWAHASA WAZAZI KUSEMA NA VIJANA WAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Mathew Marwa, ametoa wito kwa wazazi nchini kuchukua jukumu la moja kwa moja katika kuwaelekeza na kuzungumza na watoto wao, hususan vijana, kuhusu umuhimu wa uzalendo, nidhamu, na kujiepusha na...
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi waomba kambi ya wanafunzi wenye ufaulu wa chini iendelezwe

    Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunawaasa vijana wetu Disemba 9 kukaa nyumbani na wazazi wasishiriki mikusanyiko yoyote ya uhalifu

    Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka...
  14. JamiiForums Tanzania Kuelekea Dec 09 vijana msiwaache wazazi wenu na ukiwa hebu mjitambue

    Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani. Lakini pia wazazi wako unawaacha na nani? Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa, hata ukikinukisha, wewe kuna direct benefit gani utayoipata. Yaani fanya ile wanaita...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Wazazi amkeni, simu mnazowanunulia watoto wenu wanazitumia ndivyo sivyo

    Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smartphone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:- 1. Kutukana serikali mitandaoni 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…