Ukurasa wa Facebook wa Mheshimiwa Waziri Gwajima: KWENU WAZAZI MNAOLAZIMISHA WATOTO WAOLEWE.
Hivi kwanza huwa mnatoa wapi ujasiri, nguvu na mamlaka ya kumlazimisha mtu mwingine afanye lile asilolipenda tena la pingu za maisha yake yote? Tena ambalo ni kinyume na sheria na...
Sina Deni!
Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli.
Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi.
Mtoto wa Mkulima ni Mkulima.
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka!
Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli?
Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
Wasalaam!,
Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu.
Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia, nanukuu; "Mwanangu, usiwe unakaa muda mrefu bila kutupigia simu tukajua unaendeleaje maana tuna...
Unakuta mtu anapost thread yenye maudhui ya ukosefu wa maadili kabisa. Yaani inatia kinyaa hata kuisoma. Huwa najiuliza hivi baba yake au mama yake akisoma hayo mambo ya hovyo aliyoandika mwanaye atajisikiaje? Wengine wanalilia kupata mtoto na wengine wanasema nilizaa wa nini!
Habari za mchana.
Hii nimeitoa kwenye familia moja kanda ya ziwa.
Hivi ulishawahi kuona familia fulani ina watoto wengi lakini mmoja haolewi,au haoi na akioa anaacha ndoa haidumu.
Au kama ni mwanamke anaachika ili tu arudi Kwa wazazi?
Unakuta kijana anapambana lakini hatulii,anajikuta...
Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii.
Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja
Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati au sio
Kuna kitoto cha form 6 kipo likizo, aseeee nahisi kuna siku wazazi wake watakuja kunipa...
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Hii ni kwa wazazi Tu na walezi, kataa ndoa piteni pembeni. Hapa naomba tupeane ushauri jinsi ya kulea watoto wetu.
Kama Una maoni au ushauri ambao unaona inafaa kwa wazazi wenzako pls share hapa
Mimi, cha Kwanza nianze kwa Hili
Kuna hii changamoto inawakumba watoto wengi.
Inatokea watoto...
Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na...
DAR. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Msiungi Mtambani jijini Dar es Salaam, wameeleza adha ya watoto wao kukaa chini kwa kukosa madawati.
Dar es Salaam.
Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani Bunju jijini hapa imefanya baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa...
Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na uangalizi wao.
Hayo yamesemwa Juni 02, 2025 na Polisi Kata ya Ipunga, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi...
“Uwezekano wa binadamu aliyekulia kwenye mazingira yenye upendo, furaha na amani kuwa mbabe, katili anayefurahia na kukejeli maumivu ya wenzake ni sawa na sifuri. Ukatili si asili yetu. Nadra sana binadamu kuzaliwa katili isipokuwa inapotokea kazaliwa na hitilafu za kibaiolojia.” Mwisho wa...
ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko la single mothers kwenye Jamii yetu na duniani ni matokeo ya wanawake wengi kujirahisisha...
Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta
Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati
Wachawi wa mahusiano...
Ila hii nchi inamambo mengi sana aisee, kila siku tunaharibu kizazi chetu tena kwa mikono yetu. Vijana wengi wanafanya mambo ya ajabu na tunatazama tu bila kusemea wala kukemea huku tukisubiri yatokee madhara tuanze kulaumu vyombo vya usalama na mamlaka zingine.
Ijumaa nilitoka kazini mapema...
Yaani kwenye huu huu ulimwengu ambao social media zinawaharibu wazazi ,. Na wazazi nao wanawaharibu watoto lakini kuna ambao hawajashindwa kabisa suala la malezi,.
Huwa nafatiliaga videos za shuhuda za huyu mama anajiita Minister mocky. Almost watoto wote wanaotoaga ushuhuda wako very smart and...
Maneno ni mengi sana kwa vijana wanaohitimu vyuo Mara waambiwe wanaringa, mara elimu ni ya makaratasi haiwasaidii chochote na kejeli nyingine
Wengi wa watoto siku hizi kwanza huwa hawapendi shule lakini wazazi na serikali wanatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wasome lakini wakimaliza maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.