Habari wazazi wa kipindi hichi cha zama za tekelinalokujia. Siku hizi mtoto si wa jumuia kama enzi zetu. Popote utakapo kutwa na mzazi yeyote waweza tumwa au kuadhibiwa. Ila kizazi hichi thubutu uone rangi za wazazi.
Sasa hivi ukimfungia mtoto ndani kwenye mageti ni SHIDA na pia ukimuacha huko...
Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria.
Tasnia ya muziki wa kizazi cha dhahabu (Golden Era) barani Afrika ilitawaliwa na ubunifu mkubwa wa...
Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..
Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way
Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara...
Wana jamvi kwema?
Kama inawezekana kukataa kuandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi naombeni utaratibu wa kisheria ili kukamilisha jambo hilo.
Mmiliki bado yupo hai ...lakini nahitaji kujitoa ktk makaratasi ambayo namimi nimeandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi..
Sitaki chochote
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto.
Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
Juzi kati baada ya kusoma bandiko la mlevi min -me la kuhusu bintiye na kukosa upendo kwa mama yake, ambaye Wali kuwa separated na kumfanya min kuwa single father, so mtoto kukosa motherly presence ila fanya amchukie..
actually, ile issue ilinifanya nijione ndani yake.
Why..?
Kwa sababu...
07 Agosti 2026
Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania
SAAD MTABULE : WANAFUNZI MKAWAAMBIE WAZAZI JUU UHAMIAJI HARAMU KINONDONI
https://m.youtube.com/watch?v=d7oFRuKVK-w
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amewataka wanafunz i kutokaa kimya na KUWAFICHUA wahamiaji haramu
Ofisi ya Uhamiaji...
Jitahidi Usome Mpaka Mwisho
✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua unatapeliwa tu.
✅Nafahamu sio wote watakaonielewa ila katika karne ya 21 ambayo shule ni nyingi sana...
Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja...
Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
Ndoto ya watoto wa Uasin Gishu kusoma Finland na Canada imegeuka kuwa kilio kwa wazazi waliolipa mamilioni ya fedha kupitia mpango wa masomo wa kaunti.
Baadhi ya wanafunzi walifika Finland lakini wakakumbwa na matatizo ya ada, huku wengine wakibaki Kenya licha ya wazazi kulipa fedha.
Sakata...
Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana.
Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
Hellow wana JF.
Ukioa/olewa na mtu ambaye mama yake au baba yake ni shangingi yani hawajui chochote kuhusu ndoa there is no way kwamba hiyo ndoa yenu inaweza kudumu.
Ndiyo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu, ndoa zimekuwa cancer kwasababu watu wengi wametoka kwenye mikono ya wazazi...
Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani.
Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
Kuna mabinti wanajiheshimu sana hata ile namna ya kumfuata kumtongoza huwezi ipata kabisa na mara nyingi huwa wamenyooka katika maongezi yao
Kuna mmoja nakutana nae kwenye mitikasi yangu na namjua pia, hadi sasa hana mtoto wala hajaolewa kimuonekano ni mtu wa 1980s hivi huwa najiambia ningekuwa...
Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu.
Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe...
Vijana waliokosa akili sasa kidogo akili zinawarudi. Hao wapinzani hutumia matukio kama ya October 29 ili kupata pesa na mpenyo wa kushika madaraka.
Walitaka vijana wafe kwa wingi October 29 ili wapate mtaji mbele za wazungu. Wameandika barua nyingi na kupeleka watu nje kwa siri Marekani na...
Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana.
Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25.
Kilicho fanya niandike huu ujumbe ni kuwa, hawa mabinti wakiwa wana wasiliana na ndugu zao mkoani wana...
Jana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio kawaida mim nikamwambia maisha tuu mama akadai inabidi uoe inawezekana majukum hamekuzid mzee nae...
Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka.
Mnatufanya tuendelee kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.