Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka.
Mnatufanya tuendelee kuwa...
"Wewe ni shujaa unayepambana kila siku bila ngao. Upendo, nguvu, na ustahimilivu wako unajenga mustakabali wa watoto wako, hata pale unapohisi umechoka au haitoshi. Kumbuka kuwa kila tone la jasho lako na kila tabasamu unalolazimisha kwa ajili ya watoto wako ni ushahidi wa ukubwa wa moyo wako...
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akizungumza Bungeni leo Juni 22, 2026, amewataka Wazazi kuchukua Jukumu la kuwale watoto hasa katika kipindi cha umri wa 0 hadi miaka 18 ikiwa ni kipindi cha kumjenga Mtoto Kiakili.
"Nina wasiwasi na malezi na makuzi ambayo tunawapa...
Hamjambo Wote!
Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani.
Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani.
Nakumbuka...
Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo!
Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake , hivi kwenye contact nita m save kwa jina gani .
Jina lake la kuzaliwa , ama title yake kwangu...
Tunaomba sauti ya wazazi ifikishwe kwa mamlaka za elimu katika Mkoa wa Mwanza kuhusu suala linalohusu baadhi ya shule kuendelea na masomo hata wakati wa likizo rasmi za wanafunzi.
Kumekuwa na taarifa kwamba baadhi ya shule zinaendelea na ratiba za masomo wakati wa likizo, hali ambayo imeibua...
Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.
Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.
Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje...
Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani
Binafsi sina dada wala ndugu alieko huko picha zote ni ngeni kwangu, je wewe una ndugu unaemjua au jamaa au rafiki picha zake zinatumwa...
Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
Anonymous
Thread
dar
historia
kigamboni
kigamboni dar
maadili
mkuu
mwalimu
mwalimu mkuu
shule
wazazi
Kama wazazi wako huwa wanalalamika kuwa walijinyima sana kwa ajili yenu, basi umezaliwa na wazazi waliofeli vibaya sana. Watu hawapendi ukweli, yaani kuwaza tu hivyo wanaona tayari wanapata laana. Mtu anajinyimaje kugharamia matokeo ya furaha na starehe zake.
Watoto ni matokeo ya starehe zako...
A lot of us grew up in homes where the rules were clear, teachers were respected, dinner was not a restaurant menu and kids were expected to figure some things out without a commitee meeting.
But the dipper issue is not really 1992 vs 2026.
It is boundaries.
Somewhere along the way, a lot of...
Hivi sasa kwa zama hizi wengi ni wazazi pengine kwa kutarajia kua na wengine hawakutarajia imetokea tu.
Kwasasa wazazi wanalalamika watoto wao kutowahudumia zaidi wanapofikia uzee lakini watoto hawa hawa unakuta mjini ana maisha ya kuweza kumtumza mzazi au wazazi wote wawili lakini kwa GenZ...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi— "Tumuoneeni huruma kiongozi wetu"
Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje, jana Mei 26, 2026, Balozi Mahmod Kombo amewataka Wabunge kumlinda Rais dhidi ya mashambulizi ya shutuma mbalimbali hasa kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025.
“Anayepitia...
Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo.
Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler"
Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao.
Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku...
Assalam alaykum.
Tujikumbushe fadhira za kuwatendea wema wazazi wetu
Katika Uislamu, baada ya haki ya Mwenyezi Mungu ﷻ, hakuna haki kubwa kuliko haki ya wazazi wawili. Kuwatendea wema wazazi ni sababu ya kupata radhi za Allah, kuongezewa baraka, na kufunguliwa milango ya kheri duniani na...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amehoji sababu za wazazi wa wabunge kutojumuishwa katika huduma za bima ya afya wanazopata wabunge, huku akielezea changamoto kubwa wanazopata familia nyingi wakati wazazi wanapougua.
Akizungumza bungeni leo Mei 12, 2026, Waitara ameeleza kuwa utaratibu...
Kuongea na mtoto aliye tumboni ni kitendo cha mzazi (hasa mama au baba) kuwasiliana na mtoto kabla hajazaliwa kwa kutumia sauti, nyimbo, kugusa tumbo na kumwambia kwa upendo kuwa wewe ni mama yake au baba yake, unampenda na unamsubiri, unataka aje kuwa mtoto wa aina gani au hata kusali naye nk...
SINGLE MOTHERS WANAHAKI YA KUWASILIANA NA WAZAZI WENZA. KAMA HUTAKI UNGEOA ASIYE NA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Huyo mwanamke sio Wako peke yako. Hilo lifahamu. Sio wako peke yako kwa sababu ana mtoto na mwanaume mwingine.
2. Kabla yako alikuwepo mwanaume mwingine ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.