wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Malezi ~ Wazazi wana hadhi sawa katika malezi ya watoto

    Yawezekana unazo sababu nzuri tu za kukufanya utake kudhoofisha mahusiano ya mwanao na mzazi mwenzio. Labda alimkataa mtoto (ujauzito), ama hatoi matunzo (pesa na mengineyo) kwa mtoto. Ingawa sababu hizi zina mashiko, makala yetu yanataka kuangazia athari anazopata mtoto mzazi ukiamua kumtenga...
  2. JamiiForums Tanzania Kupeleka watoto wa miaka2 hadi miaka10 shule za bweni kwa wazazi tujitafakari sana

    Kumekua na ongezeko kubwa la wazazi kukupeleka watoto wadogo kuanzia chekechea. Kweli wazazi tumekua na majukumu mengi huku usaidizi katika malezi ukiwa changamoto kubwa sana. Lakini kwa niliyoyaona na kuyasikia wazazi tujitafakari tena, watoto wengi wanaopelekwa bweni wanateseka mnoo. Wengine...
  3. JamiiForums Tanzania Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

    Je, kuna umuhimu wa wazazi kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo? Unawapelekaga watoto wako? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia matukio mengi sana zaidi ya mara 4 katika misiba niliyopata...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi (zaidi wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend? How do you find it?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wazazi wengi (hususan wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend au uliwahi kushawishiwa kuoa/kuolewa katika familia rafiki? How do you find it...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Walimu na wazazi mnajifanya viziwi? Rungwe hamumsikii?

    Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza. Huyu bwana dunia nzima hasa nchi za mabeberu zinafuata sera yake lakini kwetu tumeipokea kwa dharau kubwa na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Salum Mwalimu, usikubali kuangamiza kipaji chako kwa vipande vya fedha

    Natamani vijana wangu wawe Kama nilivyo Mimi ila natamani zaidi wawe na spirit aliyonayo Salum Mwalimu. Ni kijana wa miaka 40 lakini uwezo wake unawazidi vijana wengi wa Rika lake. Ni kijana wa miaka arobaini ambaye ametambua umuhimu wa kuwazungumzia Wananchi kuliko kuajiriwa. Nikijana ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania Tabia 8 za wazazi ambazo huenda zikawafanya watoto wasifanikiwe vizuri kimaisha

    Waswahili walisema, “Kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana”. Kama mzazi ni jukumu lako kuhakikisha mwanao anakua katika mazingira mazuri na elekezi ili kumfanya awe ni mwenye hekima kuanzia mdogo mpaka kufikia utu uzima wake. Kumkuza mtoto mdogo awe vile unavyotaka kupitia muonekano wako au mtazamo...
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu mnaofuga huwa mnafanyaje inapotokea Mfugo Mama yupo kwenye heat?

    Kwa kizungu tunaita "embarrasment, haswa kwa tabia za hawa mifugo aina ya Mbwa. Afadhali hata kwa Kuku maana walau Mtoto mdogo huweza kufikiri tu hawa kuku wanapigana ila sasa ndio pale upo mahali na Watoto wako mmekaa mara linakuja kundi kubwa la Mbwa "wapo harusini" au hata hapo nyumbani kama...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Wazazi tulaani kitendo cha watoto wetu kukoseshwa masomo na kutumiwa kisiasa

    Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea msafara wa mgombea wa CCM. Mimi kama mzazi nikigundua mwanangu kesho atakosa masomo kwa ajili hii...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi/walezi tuna-fail wapi?

    Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 🙁🙁 (May their little souls Rest in Heaven 👼👼) Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding...
  11. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

    Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania? Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
  13. JamiiForums Tanzania Nasikitika kuona vijana na wazazi wengi hawajui kutambua fursa. Hali hii husababisha vijana wengi kuendelea kuwa tegemezi

    Habari wakuu! Tukubali tukatae lazima tujue kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma. Hivyo basi style za mapigano ya maisha lazima zibadilike. Wazee wengi bado hawajajua hili. Hivyo huendesha mambo yawahusuyo vijana wao kizamanizamani. Na vijana nao wanakuja kuamka huku wameshamaliza chuo...
  14. JamiiForums Tanzania Malezi ~ Jinsi malumbano ya wazazi yanavyowaathiri watoto ndani ya familia

    Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana maneno, matusi na kadhalika mbele ya watoto tena bila aibu. Kisaikolojia mtoto hujengeka zaidi na kuwa mwenye furaha kutokana na kuwepo...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  16. JamiiForums Tanzania Hapa tu anagombea Udiwani anafanya 'Unyangindo' huu, huyu akigombea Ubunge si anaweza hata Kutoa 'Kafara' Wazazi wake?

    Mgombea wa nafasi ya udiwani katika Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo wilayani Igunga mkoani Tabora, Katambi Sospeter amejikuta katika wakati mgumu baada ya kudodosha kibuyu cha dawa za kienyeji alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa kupigia kura za maoni katika Shule ya Msingi Sungwizi. Tukio hilo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

    Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri. Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani. Nawatakia Dominica...
  18. JamiiForums Tanzania Wazazi 35 kutoka Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto chini ya miaka 8 mbinu za kufanya tendo la ngono

    JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo. Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati...
  19. JamiiForums Tanzania Wazazi wanajitoa sana kuhajikisha watoto wanapata mahitaji yao ya kila siku

    Ninakumbuka miaka ya 1980 enzi zile Afrika ya Kusini siasa za ubaguzi wa rangi zimetamalaki. Nchi nyingi zilijitenga na Afrika ya Kusini, passport ya Tanzania iliandikwa kabisa hairuhusu mmiliki kuingia nchi hiyo Jirani yetu Baba yao alifanikiwa kupata kazi Afrika ya Kusini kwenye migodi ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane: Inakuwaje kuna shule Wazazi wamelipishwa ada kipindi cha Corona

    Habari JF, Naomba tufahamishane kulingana na mwongozo wa Wizara ya Elimu, hakuna mzazi atakayelipishwa ada kipindi chote cha Corona ambacho watoto wamekuwa nyumbani, unless unadaiwa huko nyuma. Ni vipi basi kuna shule zimelipisha wazazi kwa kupunguza mwezi mmoja tu tena kwenye usafiri na sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…