Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono.
Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo...
Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end!
1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi!
2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass!
3. Aanze kuuza uji...
Rais Samia amesema kuanzia sasa umri wa mtoto atakayeruhusiwa kuwa mtegemezi kwa wazazi ambao ni wafanyakazi umeongezwa kutoka miaka 18 hadi 21.
Hivyo mtoto wa miaka 21 atanufaika na marupurupu ya utegemezi kutoka kwa mzazi wake mathalani matibabu.
Kazi Iendelee!
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...
Naamini sijakosea kukuita Mwenyekiti mpya wa CCM, leo siku moja kabla ya uthibitisho wako. Naamini utakuwa ndiye tena kwa kura zoote, ni suala la muda tu.
Mheshimiwa Mwenyekiti naomba nikueleze kuwa wako waliokuwa watumishi ndani ya CCM na hasa katika shule zilizokuwa chini ya Jumuiya ya...
Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
Dalili za kawaida ni pamoja na Kupoteza hamu ya kula au kupata matatizo ya kumengenya Chakula ikiwemo maumivu ya mara kwa mara ya tumbo. Pia, kukosa umakini au Mtoto kuanza kujitenga na Marafiki/Wanafamilia mnapokaa pamoja
Pia, Maumivu ya kichwa, shida ya kulala kama kushindwa kupata usingizi...
*Mtoto wako anakosea halafu mzazi unapanick unaanza kumkumbushia gharama zote ulizotumia kumsomesha.Umesahau kwamba kusomesha mtoto ni sharti kisheria.Mtoto hakulazimishi,bali sheria ndo inakufunga usomeshe hata kama Ni kwa gharama yoyote ile, kikubwa mtoto apate elimu bora.Wewe heshimu tu...
Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums.
Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika.
Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako?
Kama ndoa inavunjika...
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
Wakuu nimeanza mahusiano na binti wa Kihaya amehitimu mwaka Jana MUHAS - Doctor of Medicine (MD)
Sasa anatafuta ajira ila nilipofikisha taarifa home kuwa nataka tupeleke mahari kwao. Wazazi wamekataa katakata bila sababu.
Ushauri tafadhali. Mimi Mnyasa wa Mbamba bay.
Mapenzi yana nguvu sana.Humfanya mtu apoteze uwezo mzuri wa kufikiri.
Kipindi namchumbia mke wangu alipata upinzani kutoka kwa wazazi wake kwa sababu tuko makabila tofauti. Lakini alikuwa ananipenda sana na aliwaeleza kwamba wakikataa ataondoka na kunifata. Wakaleta kikwazo cha mahali...
Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee.
Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
Salaam wakuu.
Kuna wimbo mmoja unaimbwa sana juu ya elimu bure katika utawala wa awamu ya tano wa Magufuli. Kama ni kweli elimu hiyo inatolewa bure, basi kuna watumishi wanamuhujumu. Shule ya Sekondari Maendeleo, iliyopo Kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni inawatoza wazazi na kuwazuia wanafunzi...
Utakuta mtu anakuletea mtoto wake ati ukae nae yeye kamshindwa tabia, sasa umemshindwa wewe uliyemzaa nitamuweza mimi ambaye sijui uchungu wa huyu mwana?
Ati anakuletea ukae naye kisa maisha magumu hivyo msaidie kulea, kwani akikaa huko huko na wewe mzazi wake alafu mimi nikawa namsaidia akiwa...
Ndugu wazazi wenzangu wasalamu,
Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii.
Nitaeleza kidogo:
Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu.
Nikaja kujua kwamba mzee alikuwa anahofia sana mtoto wake anaweza kutekwa na maisha ya kuajiriwa na kuacha kabisa biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.