Ndugu, poleni na hekaheka za kupambana na huyu kiumbe Corona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nikita form two miaka ileeeee, kulikua na jamama tumezoeana sana kiasi kwamba ilikua lazima tukae tupige story kila siku jioni. Huyu mama alikua mke wa mtu japo walikua wametengana na mumewe ambae...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amewataka wazazi wote nchini kuhakikisha watoto wao walioko nyumbani wanajisomea kwani baada ya ugonjwa wa Corona kudhibitiwa mitihani itakuwa pale pale.
Mtaka amesema hayo katika misa ya Pasaka mjini Bariadi leo.
Source ITV habari!
Mimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali.
Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu za masoko, mabasi, makanisani wala misikitini kunawa mikono pekee haitoshi.
Ndugu wenye pumu...
Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.
Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote.
Mwenye ushahidi juu ya hili alete
Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika.
Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.
Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).
Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
Salaam wapenzi wa jukwaa hili bora, katika jamii kumekuwa na minong'ono kuwa watoto wakike hukumbuka nyumbani na kulipa fadhila kwa wazazi wao pindi wanapozeeka au kuwa na uhitaji, watoto wa kiume nao hujitutumua kuwa tuhuma hizo si za kweli! Kwa wote tupo katika jamii na tunaona, je msimamo na...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu.
Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
Wazazi msiwapangie au kuwatafutia wachumba watoto wenu.
Kuna rafiki yangu mmoja tumeshibana sana.Tangu shule ya msingi mpaka sasa hivi nywele zinakaribia kubadilika rangi. Baada tu ya kuhitimu chuo kwa upande wangu nilitafuta mke anayeendana na mahitaji yangu,kuanzia muonekano n.k na kuishi...
Serikali ya Mkoa wa Mtwara imesema itaanza kuwasaka wazazi ambao watoto wao wameshindwa kuripoti shuleni kuanza kidato cha kwanza mwaka huu.
Wanafunzi hao wa kidato cha kwanza wameshindwa kuripoti shuleni, huku idadi ya waliofaulu ni zaidi ya 20,000, hivyo serikali kuagiza wazazi wote waliogoma...
Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
Salam wakuu, hivi yule binti aliepoteza wazazi na wadogo zake kwa ajali alipokua akijiandaa na mitihani ya kidato cha nne, nani anajua matokeo yake alifaulu?
====
Sent using Jamii Forums mobile app
Washukiwa wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui
Wawili hao wanazuiliwa huku uchunguzi ukifanywa dhidi yao
Wambua Mwangangi na Chris Kyalo Muli wanasemekana kumuua mwalimu huyo baada ya shule yake kutoa matokeo mabaya katika mtihani wa...
Mwanamke huyu katika picha amekutwa na mtoto mdogo, katika picha, uchunguzi wa awali unaonyesha mwanamke huyu ana tatizo la akili. Awali alikuwa anasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza na baada ya kufika Nzega mtoto huyo katika picha aliugua na kulazwa hospital ya wilaya ya Nzega, ndipo...
Wanajamvi habari za mapumziko.
Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati.
Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.