wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi msiwalazimishe Watoto kusoma vitu wasivyovipenda

    Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao . Mnawanyanyasa watoto na kuwafanya waishi maisha ya kulazimisha sana katika jamii zao. Unakuta mzazi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rungwe, Mbeya: Shaka Hamdu Shaka alaani faini kwa wazazi wa wanafunzi wanaopata Mimba

    Na Mwandishi Wetu, Busokelo-Rungwe *Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe. *Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na ongezeko la matatizo ya ujauzito na utoro yaliokithiri kwa wanafunzi wa shule za...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi naomba usiache kupitia hapa

    Kumpenda mtoto wako ni sawa hili halina shida na ndivyo inavyotakiwa lakini kumpenda mtoto mpaka ushindwe kumuonya au kumrebebisha tabia flani hili si sawa yaani mtoto unampenda kiasi mpaka anafanya mambo ya ajabu unaumuangali? Kuna wadada ndoa 4 kaachika na nje ya maisha ya kawaida hawezi...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi na kushindwa kupatiwa matibabu

    MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu. Kutokana na hatua hiyo, jamii imetakiwa kuacha imani potofu na kutumia fursa zilizopo katika mamlaka hiyo, ili watoto...
  5. JamiiForums Tanzania Nilibahatika sikupitia njia hii ila najua ni njia inayowaumiza sana watoto kisaikolojia na kuwaacha na chuki kwa wazazi

    Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na mzazi mmoja au amemtelekeza, basi asilimia 99% ya mzazi aliyetelekezwa anakuwa ni Baba. Moja kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  7. JamiiForums Tanzania Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

    Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali. Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume. 1. Huwa hawanunui kitu chochote. Mara zote mnapokutana hata...
  8. JamiiForums Tanzania Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

    Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa. Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
  9. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mume aua mkewe na kisha kujilipua ndani ya nyumba kwa Petroli baada ya Wazazi wake kuvunja Ndoa yao

    Wenslausi James (30) na Betha Kasimili (25), ambao ni wakazi wa kijiji cha Busongo kata ya Mwamashele wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya mwanaume huyo kujilipua kwa moto kwa kutumia mafuta ya Petroli, kwa madai ya wazazi wa mwanaume kumkataa mwanamke. Kwa Mujibu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Teknolojia: Wazazi wanawalinda Watoto ipasavyo mitandaoni?

    Mitandao inaweza kwa mizuri kwa watoto katika masuala mbalimbali ikiwemo ya Shule, lakini inakuja na hatari mbalimbali ikiwemo uonevu wa mitandaoni (Cyberbullying) Wazazi wanapaswa kufahamu kile Watoto wanaona na kusikia mitandaoni, watu wanaokutana nao pamoja na taarifa ambazo Watoto wanazitoa...
  11. JamiiForums Tanzania Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  12. F

    JamiiForums Tanzania JKT kwa Mujibu wa Sheria: Serikali gharamieni haya mafunzo au yaondolewe. Sipingi kuwepo mafunzo, napinga gharama

    Nije moja kwa moja kwenye mada, JKT walitangaza vijana waliomaliza kidato cha SITA kujiunga na mafunzo ya JKT kwa MJIBU WA SHERIA. JKT walitoa maelekezo vitu wanavyopata kuwa navyo watoto, ajabu unamnunulia Mtoto hivo vifaa walivyotaja wao, baada ya Mtoto kufika kambini anakutana na vitu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

    Nimetafakari gharama wanazoziingia wazazi kuwapeleka watoto ex form six JKT. Ni kubwa na mzigo usio na sababu ya msingi kwa wazazi masikini. Si chini ya laki mbili (200,000 Ths) kwa uchache. Hizi ni hela nyingi kwa mzazi wa vipato vya chini huko vijijini anaye-strugle kupata ada ya shule za...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Azory Gwanda watuma barua kwa Rais Samia Suluhu Hassani

    04 June 2021 Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

    Habari, Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu, Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wakanyeni watoto wenu,mtawazika kwa kujihusisha na ujambazi

    Jana nilipitia taarifa ya Jeshi la Polisi Dar kuhusu ujambazi na kukamatwa kwa majambazi. Lakini leo nimeambiwa kuna vijana wanashiba bangi wanajipanga hadharani kwenda kuiba huku mchana kutwa wakiwa kwenye bar na vijiwe vya bangi wakibugia vilevi. Niwaomba wazazi, msiwalazimishe Polisi...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  19. JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa ni changamoto kubwa sana kwenye malezi

    Nimekuja kibiashara hapa mjini kahama nikaona si mbaya nifikie kwa jamaa yangu ambaye tunatoka sehemu mmoja anaishi na familia yake hapa hatimaye nimefika amenipokea vizuri nashkuru ukweli yuko vizuri hongera zake mambo si haba kapanga apartiment nzima anausafiri istoshe ni mwajiriwa wa kampuni...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…