Kama wazazi au walezi tunapenda watoto wetu wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao. Ila kuna hili jambo la wazazi na walezi kupeleka watoto wao kusoma kwenye hivi vyuo vya kati hasa hivi vinavyotambulika kama vyuo vya mipango ambavyo vipo mikoa mbalimbali. Watoto hawa wengine wakiwa chini ya...
Wakuu hope mko poa.
Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.
Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula, nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa...
Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana.
Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
Habari Wana JamiiForums!
Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu.
Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu kidogo kupitia wazazi wetu.
Karibuni
Wote tunajua ndoa ni jambo la kheri kimila na kidini, kutokana na malalamiko kuwa vijana wanashindwa kutambuana, sio mbaya kwa mfano baba ambaye huwa anahangaika maeneo mbalimbli, endapo atamuaona kijana ambae anaamin ana tabia nzuri, amawambie kuwa amuoe bint yake, na kama mzazi ana uwezo pia...
Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu.
wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.
Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua.
Nani...
Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya.
Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua.
Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
Habari, natumaini uko salama na Leo nataka niongee na wazazi ambao Wana watoto ambao wamemaliza chuo na wako nyumbani bado hawajapata kitu maalumu cha kuwaingizia kipato.
Uzi unaanza..wazazi wengi ambao wana watoto waliomaliza chuo sasa hivi wengi wao ni wazazi ambao walikua wanaamini sana...
Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
Familia nyingi sana!
Watoto wanaishi kwa masikitiko!
Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari!
Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la...
Serikali imefuta mikopo kwa wanafunzi 47 nchini Uganda baada ya kubainika kudanganya kuwa wazazi wao wamefariki
Wanafunzi hao walibainika kujitaja kuwa yatima au wanaolelewa na mzazi mmoja ilhali wazazi wao wako hai. Wanafunzi 10 kati ya 47 walijitaja kuwa watu wenye ulemavu
Bodi ya Mikopo ya...
Habari za wakati huu wan JF. Nimekuja na kitu kingine, sio kipya ila nilikiandika kwa sehemu tu na nikaona imepata mwitikio mkubwa sana, hivyo nikaona kuwa nina wajibu wa kuandika zaidi ili kudadavua uzi wangu.
Imekuwa ni kawaida kwa watu wanapooana kwa ndugu kuja kukaa na Wana ndoa hao hasa...
Assalamualaikum
Mambo 10 unatakiwa kuwafanyia wazazi wako wakiwa hai.
1-Ikiwa umeshafikia balekhe na una jitegemea kimaisha, ni wajibu wako kuhakikisha wazazi wako hawalali njaa. (BABA na MAMA kula yao ni wajibu wako mtoto): Utawahudumia chakula kama wao walivyokuwa wakikuhudumia wakati wa...
Kama umekua katika familia ya Kiafrika hasa ya kitanzania kupigwa pale unapofanya kosa kumekuwa ni Jambo la kawaida. Mzazi anaweza kutumia fimbo, mikanda, au kukurushia kikombe, sufuria au chochote kilichokuwa karibu yake. Lakini je tulishachukua muda na kujiuliza hivi hivi viboko tunavyowachapa...
Siku mbili baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kuwarejesha watoto 11, waliokuwa wanadaiwa kuwa walitoroshwa na kuuzwa kwa wafugaji wilayani Mbarali, ili watumike kuchunga mifugo, baadhi ya wazazi wa watoto hao wameibuka na kudai waliridhia watoto wao kwenda kufanya kazi hiyo.
=====
Septemba...
Niliwahi kuleta hapa hii maada takribani miezi miwili iliyopita ila mnisamehe bure nilisahahu kuleta mrejesho
https://www.jamiiforums.com/threads/walimu-wanamsingizia-kiuonevu-mwanangu-je-ni-hatua-gani-nichukue-kama-mzazi.1890116/
kiufupi niliitwa shuleni kama mzazi mimi pamoja na wazazi...
Watoto 40 wa darasa la awali, katika Shule ya Msingi Buraga Mwaloni, Kata ya Bukuma, Musoma Vijijini mkoani Mara, wanasomea chini ya miti, hali iliyowalazimu wazazi kujenga madarasa kwa ajili ya watoto wao.
Chanzo: Nipashe
__________________________________________________________
Naomba...
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauaji lililotokea pale Daraja la Salenda.
Aidha mchungaji Matsai ameitaka Serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.