watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili

    Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume i kwa zamu watoto wake w mmoja akiwa na umri wa miaka 11 na mwingine miaka 8 baada ya kuachana na mkewe.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Esther Malleko - Uchumi wa mwanamke ukiimarika, watoto watakuwa salama

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Maleko amesema uchumi wa mwanamke ukiinuliwa, familia itakuwa na amani na ukatili dhidi ya watoto utapungua na hivyo kuwataka wanawake kutumia fursa ya mikopo inayotolewa kutoka katika mapato ya ndani ya Halmashauri kuanzisha miradi ya...
  3. Zegota

    JamiiForums Tanzania Kuna mda wanawake kwa tamaa zao wanafanya watoto wanakosa haki kwa baba zao

    Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu. Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo tulikuwa tumemaliza masomo yetu ya elimu ya juu. Tuliishi wote nikiwa nimepanga baada ya kupata kidogo...
  4. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Sababu gani inafanya watoto wa kishua kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya?

    Habari... wana jukwaa... Tupate sababu hapo za msingi maana mambo sio poa kwenye Taifa hili lenye watumishi wapigaji.....
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Wazazi pangeni muwe na muda na watoto wenu - Archbishop Jude Thaddaeus Ruwa'ichi

    Usipomsikiliza wewe watakuja waharibifu watamsikiliza nae atawasikiliza Mwenye masikio na asikie
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe, Jaffar Haniu atoa wito Vyombo vya Habari vitoe elimu kwa wazazi kuwapeleka watoto shule

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi. Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini. Katika vituo hivyo...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yabainika kuwa na Wagonjwa wa Surua, Watoto 12 Wafariki

    Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu mwenendo wa Ugonjwa Surua na Rubela nchini Tanzania kuanzia Julai 2022 hadi Februari 2023 jumla ya Mikao 20 imebaika kuwa na Wagonjwa. Mikoa ya Ukanda wa Pwani imetajwa kuongoza kwa idadi ya Wagonjwa ambapo hadi sasa takwimu za jumla mikoa hiyo ina...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Japan kupandisha umri wa Watoto kuridhia kufanya Ngono

    Wizara ya Haki imependekeza umri wa Mtoto kuridhia kufanya tendo la Ndoa uwe miaka 16 kutoka miaka 13 ya awali ikiwa ni mabadiliko mapya ya Sheria yanayotarajiwa kudhibiti Uhalifu wa Kingono. Pendekezo hilo pia linalenga kuharamisha Ndoa za Watoto pamoja na kupanua Sheria inayoweka vikwazo kwa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ugonjwa wa Surua umeua Watoto 12 Wilaya ya Mlele

    Jumla ya watoto 12 wamefariki kwa ugonjwa wa Surua, katika wilaya ya Mlele tangu Desemba 2022, mkuu wa wilaya Majid Mwanga ameiambia BBC. Aliongeza kuwa watoto 847 wameambukizwa ugonjwa wa surua wilayani humo kati ya Desemba na Februari. Wahudumu wa afya kufikia sasa wamewachanja watoto 16,480...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

    Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo? Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunaofanya biashara tuwaandae watoto mapema wafike mbali kutuzidi, shule ipewe nafasi lakini iwe kwajili ya maarifa ila sio ndoto za kuajiriwa

    Hata mimi mwenyewe tangu mtoto naaswa, soma sana mwanangu uje upate kazi nzuri, elimu ndio ufunguo wa maisha, n.k. misemo yote hio inapindishwa ili mtoto adhani kwamba njia pekee ya kutoboa ni kuja kuajiriwa wakati kuna alternatives far more better, elimu inatupa maarifa muhimu lakini...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Japokua wanandoa wamebanwa lakini nikiri wazi watoto wa kwenye ndoa za kikristo wanafaidi mno malezi kuliko ndoa za kiislam

    Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata talaka tu inaweza chukua miaka, wanandoa wengi hubanana humo humo. Ila linapokuja suala la watoto...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Siku 9 tangu kutokea kwa Tetemeko, Wanawake watatu, watoto wawili wakutwa hai kwenye kifusi

    Wanawake waliokutwa hai ni Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wamwokolewa katika Mji wa Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikiwa inasafisha maeneo yaliyoathirika, wengine waliookolewa wanatokea Mji wa Antakya ambapo ni mama na watoto wake wawili. Jumla ya watu waliofariki kwa upande...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

    Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Huduma za Afya zinawafikia ipasavyo?

    Leo Februari 15 ni Siku ya Kimataifa ya Saratani kwa Watoto Inakadiriwa Watoto na Vijana wa hadi miaka 19 wapatao 400,000 hugundulika na Saratani kila mwaka. Ugonjwa huo ni sababu kuu ya Vifo licha ya Saratani nyingi za Watoto kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), baadhi...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

    Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni! Na maswali yenu ya kipuuzi...
  17. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali itoe namba za NIDA kwa watoto

    Habari za majukumu JF? Kulingana na hali ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia, naishauri serikali iliangalie hili suala la NIDA lisiwe kwa watu wazima pekee. Naiomba serikali iweke utaratibu maalum wa kutoa Usajili wa NIDA kwa kila mtoto anaeanza elimu ya msingi. Hili litatusaidia mambo...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tujadili kama Taifa: Watoto wamefutiwa mitihani. Je Serikali iwe na plan B?

    Waziri wa Elimu mhe. Adolf Nkenda amesimamia maamuzi ya Baraza la Mitihani la Taifa kuhusu uamuzi wa kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi ambao wamegundulika kufanya wizi wa mitihani yao ya Taifa. Amewaomba Wabunge waunge mkono msimamo wa Baraza kwenye uamuzi huo. Na bahati mbaya sana kwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania MWALIMU WA KIINGEREZA(GRAMMAR AND TENSES) KWA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA DODOM

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu pia afisa utumishi wa uma,ninayo habari njema kwenu, na watoto wenu, kuwa ninafundisha somo la kiingereza kwa weledi mkubwa na kwa gharama nafuu( 150000-300000) kwa mwezi. Yeyote aliye maeneo ya Dodoma anaweza kunitafuta kwa kunipigia simu...
Back
Top Bottom