Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani.
Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu.
Hili ni tatizo kubwa kwasasa...
Habari zenu Wana Jf
Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu.
Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia...
Mtoto anakosea na kurudia na humchapi kwa kuiga dunia ya mbele kwamba asiumie lakini mzazi anajizima data kwamba hapa bongo adhabu zake huwa ni vipigo kwa mtu anaezingua, mtoto kaiba huko akidhani kwamba ataonywa kama ilivyo kwa daddy na mommy, matokeo yake anapokea kichapo kizito sana ambacho...
Marehemu Happiness Kasmiry kutoka kijiji cha Usari, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John...
Habari za asubuhi, Wana JF
Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto
Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini.
Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri...
Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini.
Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana.
Kijana wa...
Nimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana.
Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora...
Nawakumbusha tu vijana.
Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.
Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja
Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka.
Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi...
Mimi nina mwanangu ana miaka 4 alikuwa hajaanza shule kwa kweli maana nilikuwa namuona kama ni mdogo sana bado.
Sasa, sasahivi ndo naona angalau kamekua kidogo, hivo nimeona ni busara aanze rasmi shule.
Ila juzi kati hapa kuna shule ya Nusery ipo karibu na ninapoishi, so nilienda kwa lengo la...
Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote.
Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila...
Mpaka muda huu watu sita wamefariki dunia baada ya kula nyama ya kasa kisiwani Mafia wakiwemo watoto wawili ambao ni ndugu huku baba yao na mama yao wakiwa wapo hospitali hapa Mafia wamelazwa.
Taarifa zinakuja sababu bado huduma inaendelea watu ni wengi waliokula taarifa inakuja ishazikawa...
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
Ikumbukwe kuwa Toto...
Ndugu zangu napenda kuuliza,
Je, inafaa mwalimu kumpiga mtoto kwa kosa la kutopeleka fedha ya kumchangia mwalimu wa kujitolea shuleni ingali hayo ni makubaliano ya walimu na wazazi/walezi?
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Jaji Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
Jaji Ngwembe amesema hayo wakati akitoa elimu ya msingi ya sheria kwa wananchi mkoani Morogoro wanaofika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.