Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu,
Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...