watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Sakata la Shule za Amali: Hatma ya Wanafunzi Iko Wapi?

    Mwaka huu, shule mpya za amali zilizojengwa zilipokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini. Hata hivyo, inasikitisha na kushtua kugundua kuwa, hadi sasa, shule hizo hazina vifaa vyovyote vya ufundi wala vya kujifunzia kwa ajili ya masomo ya kiufundi na kitaalamu. Cha kushangaza zaidi...
  2. M

    Kipi bora, niwapeleke watoto kwa bibi yao kijijini au nibaki nao mwenyewe, sitaki kuwaacha na Mama yao

    Nina watoto 2 wa kike na kiume, ila kutokana na changamoto za maisha nimetengana na Mama yao kwa makubaliano kwamba maisha ya pamoja yameshindikana kila mtu akaangalie ustaarabu mwingine. Niliamua aondoke bila watoto kwani wana umri wa kuweza kubaki na mimi na yeye hana kipato cha kuwatunza na...
  3. Hivi Inakuwaje familia moja watoto wote wanafanikiwa kimaisha nyingine wanaishia kuwa watu wa hovyohovyo

    Huku mtaani Unakuta Baba na mama wa kawaida tu ila watoto wao wote kama sio asilimia 80 wamefanikiwa kiuchumi na kivyeo. Nyingine watoto wanaanza kuharibikia utotoni. La saba tu kaishaanza kuvuta Bange, Binti yuko la tano kaishatoa mimba sita, yaani wote hata wakifika chuo hakuna kazi wanabaki...
  4. Wasaidizi wa wajawazito wakati wa kujifungua, Je, utaokoa maisha ya mama na watoto?

    Mpango mpya unaowaruhusu wajawazito kuwa na watu wanaowaamini wakati wa uchungu na kujifungua unatarajiwa kusaidia kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga katika Mkoa wa Mwanza kwa kuhamasisha wanawake kujifungulia katika vituo vya afya na kuboresha ubora wa huduma za uzazi. Mpango huo...
  5. Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.

    Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.
  6. Likizo ya siku 59 ya watoto: Fursa ya kuwalea watoto wetu, si kuwapumzisha tuu kutoka shuleni

    Wazazi na walezi wenzangu, Watoto wetu wa shule za msingi na sekondari wamefunga shule na sasa wanaingia katika likizo ya siku 59. Ni ndefu mno. Mara nyingi tunapofikiria likizo, jambo la kwanza ni kuhakikisha watoto wanasoma, wanafanya tuition na kujiandaa kwa muhula unaofuata. Hayo yana...
  7. Mama wa Kambo Jela miaka 49 kwa kumlisha mtoto sindano 49! Je, watoto wako salama mikononi mwa wazazi wa kambo?

    Wakuu, Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu katika jamii zetu kuhusu changamoto za malezi, hususan pale mzazi mmoja anapolazimika kuishi na mtoto asiye wake wa kumzaa (mtoto wa kambo). Tukio la hivi karibuni kutoka nchini Uganda limeibua tena simanzi na maswali mazito kuhusu usalama wa watoto...
  8. Watoto wa kiume kwa kawaida.....

    Huwa hawapendi kuona mama yao anapigwa miti, Hii ni tofauti kabisa na watoto wa kike.,,,, Hufurahia pale mama yao anapozagamuliwa na mtu ambaye si baba yao, Ni utafiti wa miongo kadhaa sehemu tofauti tofauti...hasa bara. Lakini kuna pahala nilifika ilikuwa ni kinyume. Vijana wa kiume...
  9. Kwanini ulizaa, unazaa au una mpango wa kuzaa watoto?

    Sababu gani zilizokufanya uzae watoto au za kukufanya uzae au uwe na mpango wa kuzaa watoto hapa duniani?
  10. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š ๐˜ž๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ณ๐˜ช ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ฏ๐˜ป๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐Ÿ—“๏ธ Novemba 11, 2026 ๐Ÿ“ Segese...
  11. Adhabu mbadala wa viboko kwa watoto wakorofi shuleni

    Badala ya kuchapa watoto hizi zinaweza kuwa adhabu nzuri zaidi na zenye ufanisi kwa watoto wakorofi hasa kuanzia darasa la sita na sekondari 1. Kusafisha vyoo vya shule (kwa shule za umma vyoo vilivyo vibaya hii ni adhabu kubwa sana) 2. Kudeki madarasa 3. Kufagia viunga vya shule 4. Kumwagilia...
  12. Hakuna mahali popote Quran imeagiza wazazi au walezi kuchapa au kupiga watoto, Biblia ndio imeagiza hivyo, msilazimishe wote tuchape watoto

    Katika Quran hakuna mahali popote wazazi au walezi wameagizwa kuchapa au kupiga watoto kama adhabu, hayo sio katika mafundisho na maamrisho ya dini ya Kiislamu. Wanaume Waislamu wameelekezwa kuwapiga kidogo tu wake zao ila sio kupiga watoto. Biblia ndio inasema watoto wapigwe ila sio Quran kwa...
  13. Je, ni sawa kwa wazazi kuvaa nguo mbele ya watoto wao?

    Hi Je, ni sawa kwa wazazi kuvaa nguo au kuoga mbele ya watotot wenu wadogo kuanzia mwaka 1-7. Maana kuna wazazi bado wana kaa uchi mbele ya watoto wao waki amini hawajui kitu chochote, huku baadae watoto wakiwa na wenzao wana anza kusimuliana yale wanayo yaona kutoka kwenu kuna namna ina...
  14. Salumu Una miaka 27, unabanana na watoto chumba kimoja

    Salumu tuliyesoma naye sekondari ana miaka 27, ana mke na watoto wawili chumba kimoja, hana kiwanja na kodi inamshinda... Hivi nyie wanaume mmezaliwa kwa bahati mbaya au ni watoto wa zinaa Kuna mshkaji wangu mmoja anaitwa Salumu ambaye tulimaliza naye sekondari pamoja, umri wetu haujapishana...
  15. Is having children the only way to leave a legacy? Je kuwa na watoto ndio njia pekee ya kuacha urithi na kukumbukwa?

    I think we need to have an honest conversation about why some people have children. Some people have children because they genuinely want to raise a family, love their children and watch them grow. But others have children with expectations already attached to them. They expect these children...
  16. Wazazi wenye watoto wenye changamoto za kiafya au ukuaji, mnawezaje kuishi na hali hii kila siku?

    Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau. Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
  17. UWEZO yakaribia kukamilisha tathmini ya ujifunzaji kwa watoto Tanzania

    Dar es Salaam. Shirika lisilo la kiserikali la UWEZO Tanzania limekaribia kukamilisha zoezi la tathmini ya ujifunzaji kwa watoto kwa mwaka 2026, linalohusisha kaya 23,052 katika maeneo 1,151 ya kuhesabia watu Tanzania Bara na Zanzibar. Tathmini hiyo inayolenga kupata picha halisi ya uwezo wa...
  18. Miaka ya 1990's Tanzania ilikubwa na wimbi kubwa la watoto yatima

    Huenda ilikua mabadiliko ya sera za "RUKSA" ila Mikoa hasa ya kanda ya ziwa watoto yatima walikua ni wengi na mpaka leo wengi hawajawapata wazazi wao. Ilo giza la kuvurugika kwa jamii limeathiri jamii nyingi mpaka leo watoto hao wengi wamekua ila wanaishia kuacha watoto yatima tena Nini kifanyike?
  19. F

    Nachukia sana ninapoona maskini anazaa watoto wengi. Ndugu, jamaa na marafiki maskini wanapoongeza watoto wengi, wananikera sana

    Kuna watoto wengi sana duniani ambao hawakuchagua kuwa makahaba, wezi, majambazi, watumiaji wa mihadarati au watu wanaoishi maisha ya hatari. Lakini mazingira waliyokulia yaliwafanya waone hizo ndizo njia pekee zilizobaki za kuishi. Fikiria mtoto anayekulia kwenye familia ambayo haina uhakika...
  20. F

    Je ni rahisi watoto na wajukuu kuvunja ndoa ya wazazi waliokwisha kufa zamani(Tanganyika na Zanzibar)?

    Wazazi walifunga ndoa wakamaliza, na wamefariki wakiwa ndani ya ndoa. Sasa watoto na vijukuu baada ya kusoma wosia wa marehemu Babu na bibi zao waliokwisha kufa, hawaridhiki na mirathi, Sasa wameamua kuomba ndoa ivunjwe, Watoto hawa wamejaribu muda Sasa kuhoji ilipo hatia ya ndoa ili watafute...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ