watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ameigiza ila ndio uhalisia wa wa Kiongozi mmoja wa Serikali ambaye anapenda kuwadanganya watanzania

  2. Msanii

    Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  3. Crocodiletooth

    Kuna ukomavu mkubwa katika akili za vijana na Watanzania kwa ujumla wake!

    Facts is:- Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki, ------ Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo, ------ Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
  4. kavulata

    Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike. Maridhiano nao...
  5. M

    Watanzania Sijui ni wapi na lini tulimkosea Mh Rais na hataki kutusamehe! Moyo wangu unajaa huzuni sana Kila nikimuona

    Labda tukumbushane ndugu zangu Watanzania, ni lini na wapi tuliwahi kumkosea Mh Rais Nakumbuka mengi sana ambayo, kama angeliyasemea tu na kuyakemea, tusingekuwa hivi tulivyo Leo Au basi
  6. M

    Wito kwa watanzania: Tumchangie hela Heche kama malipo ya kutunyooshea mafisadi na majambazi yaliyoua watanganyika wenzetu

    Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari. Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo. Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
  7. passioner255

    Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na anayedai haki nani ni Gaidi ?

    Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi? Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa sababu Mungu anaweza kuzichoka tabia zenu na kuwaangusha.
  8. M

    Mnyika: ACT imesaliti damu za Watanzania, harakati za mabadiliko

    ACT imesaliti damu za Watanzania, harakati za mabadiliko, Maneno anayosema Mnyika kwa maandishi "Kwa hiyo Katiba inaonekana ni sahihi, kuleta watu wa nje kushughulikia mgogoro. Lakini muungano, Tanzania, inaonekana ni, ni shida. Sasa tunataka kusema kwamba ah tutayazungumza haya, na na...
  9. H

    CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa. Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli. Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli. Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na...
  10. M

    Picha: Msikatishwe tamaa na majambazi ya CCM. Watanzania wapo nyuma yenu

    Mwenyekiti Mheshimiwa Tundu Lissu na Makamu Mheshimiwa John Heche, sisi watanzania tupo nyuma yenu. Mungu wa mbinguni aliye hai, asiyesinzia yupo pamoja nanyi. Mungu baba yetu ni Mungu wa haki na kupitia ninyi watanzania watapata haki.
  11. kavulata

    Mahakama ya Tanzania inatukera watanzania

    Mahakama ya Tanzania ni mali ya watanzania inayohudumiwa na watanzania wote kwa manufaa ya watanzania wote kama ilivyo kwa Serikali na Bunge. Serikali, Bunge na mahakama ni mihimili ambayo lazima ionekane ikifanyakazi ya kulinda usatawi wa watanzania na mali za watanzania wote kama taifa kabla...
  12. Stroke

    Je Ruto alikuja kutuchora Watanzania, na Bunge letu??

    Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki. Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu. Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga. Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa. Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu. Bunge legu lipitishe hoja ya...
  13. Stuxnet

    Watanzania wamechagua amani badala ya vurugu: Wanaharakati wa maandamano wameshindwa

    Leo, tarehe 7 Julai 2026, Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia mtihani mzito wa kisaikolojia baada ya barabara kuu kuwa tupu na maduka mengi kufungwa, kufuatia hofu ya maandamano yaliyohamasishwa na wanaharakati lakini yakapigwa marufuku na serikali. Hatua hii ya serikali ililenga kuzuia ghasia na...
  14. M

    Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

    Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu Toyota crown Ist Raum Harrier Rav 4 Honda Cr Mazda CX-5 Toyota Fortuner Kia Hyundai Santa Fe Toyota Prado Nissan patrol Gari hizi sio Luxury Old technology Bad interior...
  15. S

    Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  16. Echolima1

    Mbunge Siglada Mligo ni Mbunge na nusu anapigania Watanzania wote!!

    Mbunge Siglada Mligo ni Mbunge anapigania Wananchi wa Tanzania pamoja na kupewa vikwazo mbalimbali za Taarifa na Miongozo kutoka kwa Wabunge wa ccm!!!! Watanzania tumuunge mkono Mbunge huyu!!!
  17. Nyani Ngabu

    Watanzania muishio Paris, Ufaransa….

    Sijui hizi habari zina ukweli kiasi gani ila nimeona kuna watu wanasema Samia kaenda au anaenda huko Paris. Kama ni kweli, jipangeni ‘mumkaribishe’ kwa namna ambayo hatoisahau. Msiogope. Huko hao watu wake hawana cha kuwafanya. Mshikieni mabango. Mkiweza chukueni hata vipaza sauti. Mpingeni...
  18. R

    JWTZ kuwahakikishia watanzania usalama si kuwapiga risasi au kuwatisha, ni kuwahakikishia HAKI

    Nimesoma Daily news kuwa JWTZ inawahakikishia wananchi usalama. Bila kutenda haki hakuna uhakikisho wowote. Sana sana mtawapiga risasi, mtawaua watanganyika wenzenu na laana yao itakuwa juu yenu. Hakikisho la kweli ni KUTENDA HAKI. Wahimize hao wanaowatuma watenda HAKI na amani itatamalaki...
  19. kavulata

    Watanzania wako juu ya Katiba, Katambi yuko sahihi kuzuia mikutano

    Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki...
  20. Tlaatlaah

    Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
Back
Top Bottom