wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Wako wapi wale waliokuwa wanasema Lisu akifungwa au kunyongwa watakinukisha na wakaja na msemo wao wa free Tundu Lisu.

    Wabongo wengi ni wanafiki , haswa wanaokesha mitandaoni. Huku mitaani ni ngumu sana kusikia mtu anasema atakinukisha kama Lisu atafungwa au kunyongwa, ila njoo sasa mitandaoni uone hilo nyomi la watu wanaojazana ujasiri hewa , ujasiri ambao upo vidoleni tu ku type ila moyoni wamejawa na uoga...
  2. Yesu alikuwa wapi na anafanya nini kwa miaka 30 ya ujana wake ?

    Biblia katika Luka 3:23 inasema Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka thelathini (30). Katika hiyo miaka yote alikuwa wapi na anafanya nini ? Hii historia yake haijaweka kwenye Biblia. Ni kweli alikuwa anafanya kazi kama fundi seremela au ujenzi akisaidiana na Joseph baba yake mlezi ? Kuna...
  3. Wanawake wenye tattoo wanapatikana wapi?

    Habarini Mimi ni mwanaume mwenye umri mkubwa tu na nina zaidi ya miaka 25 nipo Dar es salaam, nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano na wanawake mbali mbali lakini sijawahi kukutana na mwanamke mwenye tattoo. Nachojiuliza mbona mitandaoni nawaona sana, kwenye tattoo artists nawaona sana. Je...
  4. Pesa za Serikali Zinatoka Wapi? Uchambuzi wa Bajeti ya Tanzania vs Kenya (2026/27)

    https://youtu.be/XI7YlZP1W4w Habari zenu wanabodi. Kuna mjadala mzuri sana unaoendelea kuhusu uchumi wa nchi yetu ukilinganishwa na majirani zetu, Kenya. Tukiangalia bajeti za mwaka 2026/27, swali la msingi ambalo wengi hatujiulizi kwa kina ni: Hizi trilioni zote ambazo serikali inatumia...
  5. Yoga yupo wapi au kuna wengine

    Yupo wapi yoga ,au wengine ? Namkumbuka sana na Uzi wake hatari Dark d 2 Wewe utakumbukwa kwa lipi Au kwa kudai bikra Lakin Kuna wengine maarufu hawapo na wapo wapi Kuteta cyo nongwa Tafakari,chukua hatua
  6. A

    HOJA JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora mlizoahidi 2025 zimefikia wapi? Kama imeshindikana tujulisheni

    Mimi ni mmoja wa wahusika wanaosubiri Tuzo za Wanafunzi Bora katika uandishi wa insha zilizoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa yao, washindi walitakiwa kuwasili Dar es Salaam tarehe 4 Desemba 2025 kwa ajili ya kupokea tuzo hizo. Baada ya muda...
  7. K

    Mnaoshinda JF bando mnatoa wapi?

    Kuna mtu hapa yeye kila uzi lazima accomment 24/7 Hrs. Sasa ndugu mnatoa wapi hela ya kununulia bundles? Au ndo ilishasemwa Jf ni mtandao wa watu madon?
  8. KUTOKA AFRICA YENYE NGUVU MPAKA UTUMWA WAPI TULIPOKOSEA

    Africa kabla ya ukoloni (kabla ya 1500) Africa ilikuwa na falme na himaya mbalimbali zenye nguvu zikiwemo •Himaya ya Mali Ilikuwa inautajiri mkubwa wa dhahabu na biashara •Himaya ya Songhai Ilikuwa na jeshi na utawala mkubwa Africa ya magharibi •Ufalme wa Kongo Ulikuwa na mfumo wa kisiasa...
  9. K

    Jamani huyu ndugu yetu yupo wapi?

    Picha: Watanzania kwa Upendo walitoa kikombe chenye ujumbe "NIOE TESHA" Mnamo Oktoba 2025, kiongozi mzalendo Kapteni John Charles Tesha alijitambulisha na kutoa video iliyosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Alifanya hivyo wakati wataalamu wa CCM katika medani za sinema wakiwa hawajamaliza...
  10. Baada ya hukumu ya Tundu Lissu 4Rs za Rais Samia zipo wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya; 1. Reconciliation-Maridhiano 2. Reforms-Mabadiliko 3. Resilience- Ustahimilivu 4. Rebuilding-Kujenga upya Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
  11. Kitaa cha zamani na cha sasa ni vitu viwili tofauti! Malezi yameenda wapi?

    Wasalaaam, Let me declare my interest! I'm from the hood ndani kabisa ya mitaa ya Dar es Salaam, Maskani Kinondoni, Migomigo, Sinza, ndiyo mitaa iliyonilea. Sijutii nilikotoka wala makuzi yangu. Kwa namna moja au nyingine, mitaa hiyo imenijenga na kunifanya kuwa hivi nilivyo leo. Lakini...
  12. Wapi Mashabiki wa Man City?

    Na nyie fanyeni comeback kama Manyumbu
  13. M

    Ni wapi naweza kupata jeans mpya original za kiume kama Abercrombie, Dickies, Levis, Madewell, n.k,

  14. Watu wajingajinga kama Nnape Nauye, wanajaribu Kumbagaza na kutumia TUNDU LISSU, ili wateuliwe Tena, Kwahiyo Nape Ulikua wapi wakati wote wa Kesi?

    Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?. Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
  15. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  16. K

    KERO Mtaa wa Chang'ombe Extension, Chang'ombe B, mpaka huku NKUHUNGU hakuna maji zaidi ya miezi Sasa

    Hii sasa ni shida, kwanini mnatufanyia hivi, Sasa wajibu wenu nini hapo ofisini au kusubiri posho na OCs lakini wananchi hatupati maji. Mtaa wa Chang'ombe Extension, Chang'ombe B, mpaka huku NKUHUNGU hakuna maji zaidi ya miezi Sasa. Chang'ombe B, mitaa ya Mbwanga watu kila siku tunashindwa...
  17. Wananzengo, leo tunaenda kulewa wapi?

    Kujifungia ndani ni kujiongezea matatizo tu. Ngoja tukakutane huko viwanjani na watu mbalimbali; walioajiriwa, waliojiajiri, wasanii, wanadini, wanaotembeza kahawa n.k angalau siku ipite vizuri. Twendeni viwanjani.
  18. Rostam alikosea wapi?

    Aliwahi kutoa dukuduku lake kuhusu mahakama za Tanzania.Alisema,kwa mahakama za hapa nchini ,ni rahisi kwa jaji kupigiwa simu na kuambiwa atoe hukumu gani.Kwa hukumu ya Leo naona mtazamo wake umeenda Sako kwa bako na uhalisia. Kadri Muda ulivyokuwa unaenda matiti,niliona jaji anaelekea...
  19. O

    Hivi Czars alipotelea wapi, nimrkumbuka kibao chake cha amka ukatike

    wakongwe kuna anayejua nje ndani za huyu jamaa, kama engekueepo leo angekuwa na 37 plus kama sikosei. Yuko wapi now https://youtu.be/54wxB7_9cHQ?si=hSDaukM7PTWQFgvP
  20. Unafatilia ukiwa wapi?

    Unafatilia ukiwa wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…