The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Wabongo wengi ni wanafiki , haswa wanaokesha mitandaoni.
Huku mitaani ni ngumu sana kusikia mtu anasema atakinukisha kama Lisu atafungwa au kunyongwa, ila njoo sasa mitandaoni uone hilo nyomi la watu wanaojazana ujasiri hewa , ujasiri ambao upo vidoleni tu ku type ila moyoni wamejawa na uoga...
Biblia katika Luka 3:23 inasema Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka thelathini (30). Katika hiyo miaka yote alikuwa wapi na anafanya nini ? Hii historia yake haijaweka kwenye Biblia.
Ni kweli alikuwa anafanya kazi kama fundi seremela au ujenzi akisaidiana na Joseph baba yake mlezi ?
Kuna...
Habarini
Mimi ni mwanaume mwenye umri mkubwa tu na nina zaidi ya miaka 25 nipo Dar es salaam, nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano na wanawake mbali mbali lakini sijawahi kukutana na mwanamke mwenye tattoo.
Nachojiuliza mbona mitandaoni nawaona sana, kwenye tattoo artists nawaona sana. Je...
https://youtu.be/XI7YlZP1W4w
Habari zenu wanabodi.
Kuna mjadala mzuri sana unaoendelea kuhusu uchumi wa nchi yetu ukilinganishwa na majirani zetu, Kenya. Tukiangalia bajeti za mwaka 2026/27, swali la msingi ambalo wengi hatujiulizi kwa kina ni: Hizi trilioni zote ambazo serikali inatumia...
Yupo wapi yoga ,au wengine ?
Namkumbuka sana na Uzi wake hatari Dark d 2
Wewe utakumbukwa kwa lipi
Au kwa kudai bikra
Lakin Kuna wengine maarufu hawapo na wapo wapi
Kuteta cyo nongwa
Tafakari,chukua hatua
Mimi ni mmoja wa wahusika wanaosubiri Tuzo za Wanafunzi Bora katika uandishi wa insha zilizoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa yao, washindi walitakiwa kuwasili Dar es Salaam tarehe 4 Desemba 2025 kwa ajili ya kupokea tuzo hizo.
Baada ya muda...
Kuna mtu hapa yeye kila uzi lazima accomment 24/7 Hrs. Sasa ndugu mnatoa wapi hela ya kununulia bundles? Au ndo ilishasemwa Jf ni mtandao wa watu madon?
Africa kabla ya ukoloni (kabla ya 1500)
Africa ilikuwa na falme na himaya mbalimbali zenye nguvu zikiwemo
•Himaya ya Mali
Ilikuwa inautajiri mkubwa wa dhahabu na biashara
•Himaya ya Songhai
Ilikuwa na jeshi na utawala mkubwa Africa ya magharibi
•Ufalme wa Kongo
Ulikuwa na mfumo wa kisiasa...
Picha: Watanzania kwa Upendo walitoa kikombe chenye ujumbe "NIOE TESHA"
Mnamo Oktoba 2025, kiongozi mzalendo Kapteni John Charles Tesha alijitambulisha na kutoa video iliyosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Alifanya hivyo wakati wataalamu wa CCM katika medani za sinema wakiwa hawajamaliza...
Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya;
1. Reconciliation-Maridhiano
2. Reforms-Mabadiliko
3. Resilience- Ustahimilivu
4. Rebuilding-Kujenga upya
Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
Wasalaaam,
Let me declare my interest!
I'm from the hood ndani kabisa ya mitaa ya Dar es Salaam, Maskani Kinondoni, Migomigo, Sinza, ndiyo mitaa iliyonilea. Sijutii nilikotoka wala makuzi yangu. Kwa namna moja au nyingine, mitaa hiyo imenijenga na kunifanya kuwa hivi nilivyo leo.
Lakini...
Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?.
Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine.
Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
Hii sasa ni shida, kwanini mnatufanyia hivi, Sasa wajibu wenu nini hapo ofisini au kusubiri posho na OCs lakini wananchi hatupati maji.
Mtaa wa Chang'ombe Extension, Chang'ombe B, mpaka huku NKUHUNGU hakuna maji zaidi ya miezi Sasa.
Chang'ombe B, mitaa ya Mbwanga watu kila siku tunashindwa...
Kujifungia ndani ni kujiongezea matatizo tu.
Ngoja tukakutane huko viwanjani na watu mbalimbali; walioajiriwa, waliojiajiri, wasanii, wanadini, wanaotembeza kahawa n.k angalau siku ipite vizuri.
Twendeni viwanjani.
Aliwahi kutoa dukuduku lake kuhusu mahakama za Tanzania.Alisema,kwa mahakama za hapa nchini ,ni rahisi kwa jaji kupigiwa simu na kuambiwa atoe hukumu gani.Kwa hukumu ya Leo naona mtazamo wake umeenda Sako kwa bako na uhalisia.
Kadri Muda ulivyokuwa unaenda matiti,niliona jaji anaelekea...
wakongwe kuna anayejua nje ndani za huyu jamaa, kama engekueepo leo angekuwa na 37 plus kama sikosei.
Yuko wapi now
https://youtu.be/54wxB7_9cHQ?si=hSDaukM7PTWQFgvP
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.