wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    Prof Wineastwr Anderson (aliyekuwa DVC-UDOM) yupo wapi?

    Mwanamama Msomi, Shupavu alinyoosha UDOM ndani ya muda mfupi ila simuoni tena pale UDOM. Yupo wap?
  2. Kaka yake shetani

    Kiduku yupo wapi ? .Sawa na nchimbi

    Kuna taarifa kuwa yule kiduku ni kama kizimkazi na tabia za matokeo na ziko huko huko.
  3. technically

    Rais Samia Yuko wapi

    Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea. Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote. Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
  4. The Burning Spear

    Paul chacha wa CCM kaishia wapi? nadhani Kashaonja moto wa Chadema

    Huyu jamaa aliona wanaCCM wenzake wote ni wajinga kushindwa kupambana na HECHE. Nadhani huko aliko haamini macho na masikio yake. alidhani chadema inatishika kwa kuongea ongea ujingaujinga tu. Chadema ina nguvu na pumzi ambayo kila mmoja anashangaa ndo maana maCCM yamekabidhi inchi kwa...
  5. Hance Mtanashati

    Kesi ya Samia ICC imefikia wapi?

    Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili. Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana. Inasikitisha zaidi kuona watanzania...
  6. A

    HOJA Taarifa Binafsi za Wananchi zinasambaa Mtaani: Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) wanafanya nini?

    Kumekuwa na wimbi la taarifa binafsi za wananchi, zikiwemo majina, namba za simu na taarifa za wenza na wanafamilia, kusambaa kupitia karatasi zinazotumika kufungashia chipsi na vitafunwa. Nyaraka hizi zinadaiwa kutoka hospitalini, taasisi za mikopo, shule, vyuo, stationaries na ofisi...
  7. Mad Max

    Watu wa Arusha uwa mnatumia wapi pesa zenu weekends?

    Nataka nipige ata Smirnoff mbili. Ndio naingia town.
  8. Mr the dragon

    Nimenunua gari nataka kuikodisha kwa ajili ya bolt. Nianzie wapi?

    JF Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo. Niko Dsm nataka...
  9. Ntemi_Ntale

    Bima ya afya kwa wote iliishia wapi?

    Jan 26, 2026 Waziri Mchengerwa alitangaza kuanza rasmi kwa mchakato wa upatikanaji wa Bima ya Afya kwa wote nchi nzima kwa Awamu ya kwanza ,Mchakato ulilenga kaya 276,004 za wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu ambapo gharama zote Serikali ndio italipa. Bima hiyo ilitarajiwa kugharamia...
  10. K

    YUPO WAPI LEYLA !?

    Wakuu Hope Mko Poa, Hivii Leyla Rashid Yupo Wapi Siku hizii !? Yupo Hai !? Maana Tangu nipate Tatizo La Masikio Sifatilii Sana Muziki, Nakumbuka nipo Primary Nyimbo zake zinapigwa kila sehemu, Majirani wanashindana tuu kuweka Taarab, Nikipanda Daladala Taarab Daah... Yule Mama Alikuwa...
  11. A

    KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

    Je serikali imefikia wapi kuhusu suala la cement? Mana ni kimya sasa
  12. Masalu Jacob

    Tanzania House Bank (THB) irudi sasa tuwe na makazi bora

    Habari Tanzania !... Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii. 1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?. Ombi langu; Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
  13. K

    Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
  14. Eli Cohen

    Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

    Janja janja nyingi kwenye routers zenu Michezo mingi kwenye vifurushi vyenu. Tunawaangalia tu.
  15. Alloyce PR

    Amri ya kifo: Afrika inakwama wapi?

  16. A

    Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  17. R

    DUDE linaloendesha nchi liko wapi? Akitokea mtu CCM akatetea Ukweli, DUDE linammaliza kabla hakujakucha. DUDE LIKO WAPI?

    Hilo DUDE ni nini na lipo wapi na linafanyaje kazi na kwa kutumia katiba gani na hapo hapo Serikali ikiwa wapi??🤔🤔☝️
  18. A

    BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  19. Manyanza

    Ulipokuwa unashindia Mihogo na Kunywa Maji, walikuwa wapi?

    Ndugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: 🤔 Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?” 😂 Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako. Chagueni...
  20. Pdidy

    Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
Back
Top Bottom