Wananzengo, leo tunaenda kulewa wapi?

Wananzengo, leo tunaenda kulewa wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,625
Reaction score
65,100
Kujifungia ndani ni kujiongezea matatizo tu.

Ngoja tukakutane huko viwanjani na watu mbalimbali; walioajiriwa, waliojiajiri, wasanii, wanadini, wanaotembeza kahawa n.k angalau siku ipite vizuri.

Twendeni viwanjani.

drink.jpg
 
Back
Top Bottom