Salam sana Wakuu,
Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa😀
Naeza kuelezea Bwana as a Master, means ni mtu unaemheshimu au kumtumikia. So Mwanamke akimwita Mwanaume ni Bwana ake, means...