wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Akili Unde (AI) yachochea ongezeko la ukatili mtandaoni dhidi ya Wanawake Duniani

    Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
  2. passioner255

    JamiiForums Tanzania Msiwalaumu wanawake wa makabila fulani kuwa ni Malaya

    Kumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara, Singida na wengine wanasema Bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa. Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha? Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama wanaume na wanawake watachukiana, nani atafaidika?

    siku hizi kila ukiingia mtandaoni unakutana na maudhui yanayowagawa wanaume na wanawake. Huku wanaambiwa wasioe, kule wanaambiwa wasiolewe. Huku wanaume wanatajwa kuwa shida, kule wanawake wanatajwa kuwa shida. Kila siku ni vita. Ukienda kwenye comments ni matusi na lawama tu. Wengine...
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

    Wanawake wengi huwa wanalaumu kwamba mwananaume hamkojozi wakati huo huo haelewi chochote kuhusu kukojoa. Iko hivi suala la sex ni suala la kisaikolojia,huw linakuwa pevu pale mtu ambapo mood yake inakuwa relaxed na attention kwa shughuri hiyo,na suala hilo linapaswa lifanyike katika hali ya...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolipa kodi za nyumba, chakula na ada za watoto huku mkiwa na waume nyumbani wenye afya njema, mmechanganyikiwa? Are you stupid?

    Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
  6. A

    JamiiForums Tanzania How wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu

    Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃)...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipato wanawapotosha Wanawake Maskini. Sasa mwanamke aandike mali kwa jina lake kwa kipato kipi?

    WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile yenyewe. Yaani mwanamke tegemezi tunazungumzia mwanamke asiye na kazi, asiye na elimu, asiye na ujuzi...
  9. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna Mapepo Kama sio Laana

    Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake Aliwahi kunitamkia kuwa yupo na Mimi ila Kuna idadi kubwa ya wanaume wanamfuata kumtongoza , hii kauri ilinifanya...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tanzagiza hata wanawake wakibakwa, men do nothing or worse watamu-attack victim!

    ni kweli sisi ni watu backward sana, angalia tu mfano belfast imewaka moto kwa sababu tu mtu wao amekuwa attacked na foreigner, haijalishi kosa ni la nani lkn ile tu kujumuika wote na kumtetea mtu wao speaks volume man, hata india wametuzidi kuna mwafrika alibaka mwanamke wa kihindi wahindi...
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na wanapenda Sorcery (Nsamba)

    Wanawake wa kichaga ni assets kataa kubali. #hakuna mchanga fala.
  12. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya wachungaji wanawake ni msiba

    Wakuu ccm haipo ila ilichokifanya kwa miaka mingi ni kuingza makada kwenye taasisi zote za serikali ambao ndo wanatumika kulinda harufu ya ccm fatilieni watendaji, polisi, wafanyakaz halmashauri, walimu hawa wengi wao ni makada wa ccm ambao waliingzwa huko kwa lengo la kulinda chama hawa ndo...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

    Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo. Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge JF nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu wanawake na saikolojia yao kwa ujumla

    Wanawake wanapenda ngono sana sana... nimegundua kwamba, huenda wao ndo wanapenda sana ngono kuliko wanaume. kitu cha kushangaza ni kwamba huku mitaani au sehemu yoyote ukimface wanawake huonyesha kwamba hawapendi, na kwamba wewe ndio unamconvice apende. kwakua huku ni anonymous, wanaonyesha...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Video: Wanawake wa Mlandizi wanachangia wanaume na mabinti zao

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, afande mmoja kutoka Dawati la Jinsia ameonekana akitoa nasaha kwa wanawake wa Mlandizi huku akiwashangaa kwa vitendo vyao vya ajabu wanavyofanya mbele za watoto wao. Wanawake hao, ambao ni wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali wilayani humo...
  16. Wakufoji

    JamiiForums Tanzania Wanawake huenda ni wavivu wa kujiongeza

    Kwa uchunguzi wangu nimekuja kugundua wanawake siyo wabunifu na ni wavivu wa kujiongeza. Yaani ni kama hawafanyi mambo kwa kujiongeza. Mfano anaweza kushindwa hata kupachika laini ya sim au Au pakiwa na kitu cha kutumia akili ya kujiongeza huenda akashindwa wao wana fanya mambo kimazoea...
  17. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hii ni mbinu ambayo wanawake hutumia ili kukeketa watoto wao wa kike pale wanapotambua kuwa waume zao hawaafiki suala hili (la ukeketaji)

    Wewe mwanaume uliye kwenye ndoa unaunga mkono ukeketaji kwa watoto wa kike? Kama huungi mkono unauhakika kuwa hao watoto wako wa kike hawajakeketwa? Hivi unajua kuwa baadhi ya wanawake (kwenye ndoa) hukeketa kwa siri watoto wako wa kike? Hii hapa 👇ni mbinu maarufu ambayo mke wako anatumia...
  18. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Waepuke wanawake masikini

    Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote. Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tangu nilivyoanza kupendwa na wanawake wengi, pesa haikai kabisa

    Kila ninachokipata kinapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka, kichwa kikuu kimeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu ya kuzuia pesa isipotee. Maendeleo yangu yamekuwa ni yakusua sua, wakati mwingine naonekana kama vile nimechanganikiwa, wazee wenzangu hawanipi heshima tena kama mwanzo. Sasa...
Back
Top Bottom