wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Waepuke wanawake masikini

    Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote. Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tangu nilivyoanza kupendwa na wanawake wengi, pesa haikai kabisa

    Kila ninachokipata kinapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka, kichwa kikuu kimeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu ya kuzuia pesa isipotee. Maendeleo yangu yamekuwa ni yakusua sua, wakati mwingine naonekana kama vile nimechanganikiwa, wazee wenzangu hawanipi heshima tena kama mwanzo. Sasa...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

    Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
  4. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanawake: Kama mwanaume hakutendei vizuri, mwingine atakutendea vizuri

    USHAURI KWA WANAWAKE • “Kama mwanaume hakutendei vizuri, mwingine atakutendea vizuri.” • “Akikusaliti, si kosa lako hata kidogo.” • Hivyo ndivyo mwanaume huonyesha upendo wake; amini zaidi matendo yake kuliko maneno yake. • Wanaume wengi si waongeaji sana kuhusu hisia; huonyesha...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

    Kwasa ieleweke mapambano dhidi ya ukimwi hatawezi kumalizwa na upande mmoja peke yake, nijambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote katika utafiti wangu nimebaini wanawake wanahofia labda mimba kuliko ukimwi, hii inaweza kuchangiwa na ujinga ama kutokuwa na uelewa ama wameamua kupuuzia zipo...
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna jamii yenye wanawake warembo zaidi ya wanawake wenye asili ya Africa?

    Ebony queens👑
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wanawake, hii confidence mnaitoa wapi?

    Hapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli yake eti amuache aishi maisha yake kama amemchoka amuache kwani Kuna Wanaume wengi wanamtaka cha ajabu...
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Labda kama exposure imebadilisha watu ila watu waliokuwa wanaoa wanawake wa jamii zilizopo kando kando na visiwan mwa ziwa victoria walikuwa wanakiona

    Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana. Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Reviews: Wanawake wa Kitanga

    1. Ni wanawake wenye dedication kwenye mapenzi na ndoa 2. Hawapendi kufanya kazi ila wapo vizuri kwa kazi za Kitandani tu 3. Wengi wanaweza kuwa na sura nzuri ila maumbo si sana. 4. Wanajua sana kupika 5. Wana ongea kwa mahaba 6. Si wachoyo ni wakarimu kwenye mambo yote 7. Wanajua kuzaa huwa...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

    Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi, ana mall kama 4 ivi, anasafiri kila sehemu duniani, naona watu wakimpongeza kweli kweli. Broo...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

    Nimepata manzi mmoja wa kichaga ila hili suala lake la kuona aibu linanipa kutafakari ananiigizia au ni kweli yupo hivyo niambieni sifa za wanawake wa hivi niweke ndani au ndio nitakuwa nimepigwa?
  12. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Mfalme Suleiman (Solomon) alikuwa na wake 700 na michepuko 300 kweli? Kwanini?

    Juzi nilipokwenda dukani kununua liwa kwa ajili yakurembesha uso wangu. Muuzaji alinifungia liwa hiyo kwenye kipande cha karatasi ambacho kilikuwa na habari inayomhusu Nabii Suleiman AS. Huyu nabii anaelezwa kwamba alikuwa na utajiri mkubwa usiyo kifani, lakini pia alikuwa na busara na hekima...
  13. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

    Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi. Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
  14. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake hela mlitengenezewa nyie

    Yaan tuna rasilimali za kila aina ccm wanajenga vibarabara kwa mikopo na misaada wanataka tupongeze hivi kwa rasilimali tulizonazo hii nchi inasababu ya kujenga vibarabara uchwara kwa mikopo, tz ni ya kupewa msaada wa madawati, vyoo kweli....😪 ccm walishagawana kila kitu wakishirikiana na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Deep down ni kweli Wanawake bado wanataka 50/50?, uhalisia Makazini na Majumbani ukoje?

    Wakuu habari, So nimerudi tena baada ya mazungumzo mengine marefu na rafiki yangu aliyeniita 'Toxic' Wakati huu tulikua marafiki kadhaa wanaume kwa wanawake tukipiga stori hasa Ubingwa wa Arsenal na baadae mada ikafikia huku baada ya jamaa yetu mmoja kuuliza "Hivi kwa nini wanawake mliamua...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nyumba niliyohamia wanawake wanaomba omba sana

    Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu...
  19. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Wanawake wa Kipare wanajiona wao ndio wana Soko kubwa sana kwenye Mahusiano tofauti na Wanawake wa Kichagga?

    Hilo ni swali mezani wakuu. Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano ni kama kwamba wao ndio namba #1 kisha wengine wanafuata, nini sababu? Hii nazungumzia kwa...
Back
Top Bottom