1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome)
Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust).
Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko salama huko uliko, nakusubiri nyumbani." Hii inampa hamu ya kurudi.
2. "Nipike nini?" au "Tule nini...
Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke.
Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi.
Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
Wakuu hebu tumalizie weekend na mada mkangamfu.
Ewe mwanaume ni kitu gani ukikiona kwa mwanamke au mwanamke akikifanya kwako inakukata stimu kabisa yaan turn off.
Mimi nitalist kadhaa
1. Mwanamke mwenye vinyweleo mikononi na miguuni, aisee bora mikononi naweza vumilia ila miguuni pale ameweka...
WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!
Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
Mtu umetoka hapa⤴️
Ili uje kuteseka na kuaibika hapa⬇️
Kunaa interview nimeona jamaa mmoja anakuja kujitetea kuwa ile gari aliompa slay queen sio kwamba amemnunulia iwe yake bali amempa tu atembelee ila demu kawa mkali hadi ka-share video asaidiiwe na serikali ili arudishe gari yake.
Hamjambo!
1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa.
2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana.
3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
Wanawake vijana wengi wa bongo wanaokuwa wakiachika katika mapenzi na wanaobaki single mothers wamezoea sana kauli za kulalamika kusema walidanganywa au walitapeliwa na wanaume walioingia nao katika mahusiano au waliofanya nao ngono.
Kama mwanamke una miaka zaidi ya 18 na ulifanya ngono na...
WANAWAKE MNAYOHAKI YA KUDHARAU WANAUME MACHAWA NA WAMBEA WAMBEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Binti zangu, usione haya wala aibu yaani usijifiche kuonyesha dharau kwa Mwanaume yeyote mwenye tabia za kichawa chawa. Kimbea mbea.
2. Hata kama ni Mimi Babaako, hata kama ni mimi mumeo...
MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba
1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
Shikamoon wakubwa zangu wote
Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani.
Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
Ukichagua mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa, lazima ukubali kwamba hawezi kushughulikia kazi za nyumbani zote.
Ukichagua mama wa nyumbani anayekujali na kusimamia nyumba yako vizuri, lazima ukubali kwamba hatoingiza kipato.
Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na...
Habari everyone.
We're too weary... you did it long enough, no more chance for that.
haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi.
MMU kuwa jukwaa la mahusiano...
My Take
Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine.
Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
Wakuu, inasemekana kuwa mwanaume mwenye makebo makubwa Kunauwezekano mkubwa kuwa amasharuhusu wahuni kuzama gentani mwake.
Watu wengine wanadai kuwa huenda mwanaume kuwa na makebo makubwa husabanishwa na masuala la hormones.
Watu wengine wanasema ulaji wa hovyo; kubugia chipsi, ni Moja ya...
Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo.
Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi.
Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
Takwimu zinaonyesha kwamba waume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini huishi miaka mitano zaidi.
Na pia hupata hadi asilimia 35 zaidi ya kipato kuliko wale wasiokuwa na tabia hiyo.
Utafiti ulioongozwa na Arthur Szabo kutoka University of Kiel unaonyesha kwamba kitendo rahisi cha asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.