wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

    Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno. Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume. Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wanaume wangepewa uwezo wa kuumba wanawake wanaowataka

  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake. 2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli...
  4. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume

    Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume. Wanaume tumebaki wachache sana.... Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke..... 1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke. 2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka...
  5. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Bilionea Lugumi kuhudhuria ‘Kikao cha Wanaume’ April 2, 2026

    Kikao maalum kwa ajili ya wanaume kitafanyika April 2, Mlimani City na kimeandaliwa na @prophetipm kikilenga kuwakutanisha wanaume watu wazima pamoja na vijana ili kujadili masuala muhimu yanayohusu maisha, maadili na juhudi za kujiletea maendeleo binafsi. Miongoni mwa wazungumzaji ni...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Sauti nne pekee ambazo sisi wanaume tunapenda kuziskia kwenye maisha yetu.

    #everything in life come and Go
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

    Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka. Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kabla ya kumuoa binti, jitahidi umjue mama yake!

    1. Kabla ya kuoa mwanamke, mjue vizuri mama yake. Mabinti huchukua tabia za mama zao 2. Oa mwanamke atakaye kuheshimu hata kama ana hasara au umemkosea 3. Usipende kutamka neno 'nakupenda' au 'I love you' Aidha Kwa mkeo au wanao usipende kusema love you Wanaume halisi tunaonyesha upendo Kwa...
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  12. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

    Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa. 80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage. Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko...
  13. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kama wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume kwanini wamewekwa kwenye kundi maalumu?

    Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME. ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Linahitajika somo la mtaala wa darasani kuwaelewesha wanaume tabia za mahusiano za wanawake

    Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza! Ni jambo linalotia hasira kama wewe ni mwanaume masikini lakini ni jambo linaloeleweka ukichukua muda kutafakari na...
  15. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je wanaume wengi wanateseka kimya kimya kwenye ndoa zao?

    Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii. Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack...
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna madanguro ya wanaume kujiuza na wanawake wanawanunua?

    Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hatupendi uchafu

    Hapo vip! Najivunia sana kuzaliwa mweupe kwasababu uweupe ni ishara ya utakatifu,nguvu,utawala,utajiri,mamlaka n.k MFano nuru utawala giza. Kiukweli sisi wanaume weupe hatupendi vitu vichafu vichafu mfano ngono inachafua nyoto,kiasili na ukweli ni kwamba rangi nyeupe haipendi uchafu. Wanaume...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni viumbe adimu tuliobakia na tupo njiani kutoweka katika hii Dunia

    Warembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu ni hayo tu.
Back
Top Bottom