wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itaondoa wanaume wapiga magoti na watandika kanga wa mfalme

    Hakuna fedhea na utumwa wa fikra kama mwaume mwenye familia kwenda kupiga magoti Kwa kiongozi WA kisiasa wakiamini NI Mungu. Namna Watanzania wanavyomsujudia mwanadamu just Kwa Sababu ana madaraka ina kera zaidi hata ya utumwa. Endapo katiba mpya itaondoa mamlaka makubwa ya kuteua zikabaki...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu msitafute laana acheni mchezo wa kutumia ulimi kuupiga deki uke

    Asalaam alaikum? Nitoe hadhari ya kipekee kwa wanaume, kumekuwa na hamasa za vibwagizo vya kupiga deki uke wakati wa game za minyanduano, hata kutoka kwa baadhi ya watu wenye heshima kama mashekhe, na wachungaji. Imani yangu hawa watu hasa viongozi wa dini nahisi ni feki kabisa. Nitoe rai...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuongee na Madaktari

    Wanabodi hali ni mbaya sana huku majumbani. Madaktari Madakatari Madaktari.... Sijui mmevurugwa na nini? Sijui ni kwa maksudi au kwa sababu ya Utaalamu kiduchu au Mshahara hautoshi? Au mmeamua kutukomesha? Usiombe Mchumba /Mkeo wako ajifungue kwa njia ya kawaida kupitia kwenye Uzazi wake...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

    Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike. Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume. Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ifike hatua, wanawake muwe na huruma dhidi yetu wanaume

    Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Wapo wanawake wanaotongoza wanaume na bado ni waaminifu ukiachana na vicheche wanaojigonga kwa pesa/umaarufu?

    katika kuelezea hisia za mapenzi, sio lazima kila siku mwanaume tuu ndio awe mwanzilishi wa kusema hisia zake kwa mwanawake, kuna kipindi mwanamke anaweza kufunguka. achana na vicheche kadhaa vinavyokomalia watu vyenye mapenzi ya mikwanja, majina na umaarufu ambavyo ukiwa chata tu vinajigonga...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa wanapenda Wanaume wenye Mamlaka

    Juzi Kati wakati natembelea maskani ya Twitter nikakutana na mkenya mmoja anazungumzia kisa chake kimoja na demu wake. Anasema yeye kwakawaida huwa soo nice Kwa manzi wake kiasi kwamba kila kitu yeye husema Sawa Tu,yaani Hajui kusema hapana Kwa babe wake, so ikatokea wakati akawa anaumwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kifo cha Norah; aliyejifanya mwanaume ili ajue maisha ya wanaume yakoje

    Kifo cha Norah Vicent kiliibua hisia kwa jamii kutokana na namna utafiti alioufanya ulivyommaliza yeye mwenyewe. Norah alitaka kujua maisha ya mwanaume yakoje..ni changamoto zipi anapitia? Mwaka 2003, bila kubadili jinsia yake, akaamua ajifanye kuwa mwanaume; akaajiri mtu wa make up,mtaalamu wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

    Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka. Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
  10. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Natumaini mko poa, Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali. Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili la Wanaume wa Kigoma

    Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wa Kigoma wamekuwa wakiishi katika ndoa zao katika hali ya mateso na manyanyaso makubwa toka kwa wake zao. Wengi wamekuwa wakipokea vipigo mara kwa mara na kulazimika kunyamaa ili kuepusha hali ya sintofahamu katika jamii.hata hivyo waswahili walisema "mwenda...
  12. JamiiForums Tanzania Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

    Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri. Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake, pesa au mapenzi ya dhati? Wanaume, tako au tabia nzuri?

    Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati? Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri? Twende kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Mimi hiki Kitu nakiweza ila 99% ya Wanaume Wenzangu hawakiwezi?

    Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha? Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche? Je, Mimi ni Mshamba na hiki nikifanyacho ni Ushamba na Uzembe na kwamba hawa 99% ya Wanaume Wenzangu wanaofanya...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

    Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
  16. JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

    Ommy unatuangusha
  17. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

    Hellow Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana. Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

    1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect). 2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake. 3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe...
  20. JamiiForums Tanzania Magaidi wa kidini wakataza wanawake wasitibiwe na wanaume, ila pia wanawake wasielimishwe kuwa madaktari

    Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu hao wanawake maana hakutakua na madaktari wa kike. Yaani imani za kidini zinafanya mwanamke anaonwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…