wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Japo leo ni siku yenu, sindano zangu hizi ziwaingie ili mbadilike kwa tabia zinazotuchosha wanaume

    1. Uvivu kitandani (kubaiolojika). 2. Uchafu hasa ule wa kutupa hovyo na kiholela taulo zenu za kike mitaani na uvivu wa kunyoa mapori yenu ya Kibaiolojia. 3. Kuibiana waume/mabwana kimakusudi. 4. Kuwa na VICOBA (mikopo) zaidi ya mmoja ila maendeleo sifuri. 5. Usiri wa maendeleo yako...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

    Wanabodi, Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi siku hizi wamebadilika

    Anaandika, Robert Heriel 1. UKWELI, KUJIAMINI NA MSIMAMO VIMEPUNGUA Ilikuwa ni Tabia ya mwanaume halisi kusema Ukweli pasipo kupindisha pindisha maneno bila kujali ataonekana vipi. Wakati Kwa Mwanamke ni Haki yake kuongea Kwa kuangalia ataonekana vipi kwani lengo la Mwanamke ni kupendwa. Kwa...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  5. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Imani zinazowafanya wanaume wengi waamini watapata na kudumisha mapenzi kirahisi lakini sio kweli

    Asilimia kubwa ya wanaume hufikiri hivyo, hata mimi kuna kipindi nilikua naamini hivyo lakini sikupata matokeo ninayotaka. Japo vingine ni muhimu lakini ili kudumisha mahusiano, usivitegemee hivyo pekee. Kama unaamini hivyo, na matokeo unayopata kwenye mahusiano yako hayakuridhishi, badilisha...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo. Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Farhia Middley wa Redio One na ITV: Wanawake Wanaowaendea Wanaume wao kwa Waganga wa Kienyeji wako sahihi 100%

    "Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko" Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo Haya Wanaume...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa wanatupenda sana wanaume ambao tuko real

    Kwa mfano mwanaume wewe unajijua kuwa ni mlevi, wewe ukikutana na mwanamke day one just show her your reality kuwa ni mlevi haswa kama ni wa kukupenda atakupenda ulivyo tu, acha kuzuga. Ukimdanganya na siku akigundua wewe ni mlevi asee atakumaind sio poa. Huu ni uchunguzi binafsi nilioufanya...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

    Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
  10. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hukosa wapenzi kwa kufanya makosa haya wanapokutana mara ya kwanza (first date)

    Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate kabisa umuweke ndani Kukutana na mwanamke mara ya kwanza huwa ni kwa ajili ya kujuana zaidi. Sio kwenye...
  11. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameharibu mahusiano yao bila kujua kwa kufanya makosa haya

    Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa. Hivyo...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliumbwa kupambania ubora katika maisha na sio kulialia kuhusu mapenzi

    Hello mamboz JF! Mara zote ninapohimiza kutafuta pesa namaanisha sana tu kuhusu kutafuta pesa, uwe na pesa, uwe na amani ukiwa na pesa uwe na utulivu ukiwa na pesa uwe na furaha ukiwa na pesa, uwe mwenye afya bora ukiwa na pesa uwe na utulivu wa mwili, roho na nafsi ukiwa na pesa. Ukiwa na...
  13. Requal

    JamiiForums Tanzania Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Nina mpenzi wangu ambae tunaishi nae toka mda tuko chuo, Huyu mpenzi tayari ana mtoto ambae alimpata akiwa Olevel. Nilianza kukaa nae rasmi toka Niko chuo akiwa yeye na huyo mtoto wake, nikiwa na mishe zangu za kupambana mtaani. Baada ya kumaliza chuo nikawa na bajaji zangu mbili, Moja nikampa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kufanya uzembe kama huu. Hivi mnajielewa kweli??

    Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi kaambiwa mpk watakapofunga ndoa. Kilichomtisha huyu kidume mpka kuja kwangu leo ni kwamba ni mwaka...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Itambue historia ya TMK wanaume Family

    KIUMENI, MAANDISHI MATATU TMK WANAUME FAMILY Pengine ni sahihi kama tukianza kuizungumzia Temeke kwa kuutaja uwakilishi wa mwanzo kabisa wa kundi lililofahamika kama Gangstaz With Matatizo ama kwa kifupi GWM. Humo aliyesikika zaidi alikuwa Kaka Rashid Ziada (KR MULLAH CD 700 MUZIKI MKUBWA...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku

    Wanaume wachepukaji nina swali Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wake zenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu? Wake zenu wanaingiaje hapo
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

    Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo? Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

    Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
  20. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili..... Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
Back
Top Bottom