wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi. Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri...
  2. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwezi kuwa serious, kabisa...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume heshima yetu kauli mbiu yao ni kuwa tuwapelekee moto

    Hello, Taarifa toka kwa Wadiz a.k.a Baharia Ukipata nafasi kuwasikia wanawake wakisema ukweli ni raha sana, mara kadhaa nimesikia hii kauli heshima ya mwanaume ni kuupeleka moto, mengine tutajua mbele. Pamoja na kauli mbiu yetu tukufu ya kutafuta pesa na kuvimba kwenye matumizi. Wito wa...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wanaume Tusijiaibishe: Eti kuna mchongo unausikilizia hebu toa Pesa

    Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani. Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na...
  5. kbm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ugumba kwa wanaume la zidi kuwa kubwa

    Moshi. Kama unadhani tatizo la ugumba ni la wanawake zaidi unajidanganya, kwani kliniki iliyoanzishwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, sasa inapokea wagonjwa kati ya 25 hadi 30 kwa wiki, wakiwamo wanaume. Dk Thomas Kakumbi, ambaye ni mkuu wa kitengo maalumu...
  6. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

    Kwa masikitiko makubwa, mchana huu nimepokea taarifa ya "Nahisi ni mimba." Ujuwe nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa kama hii, lakini leo nahisi kichwa kimewaka moto na nimekosa utulivu hadi kwa mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe. Sijawahi kumpenda bali ni nyege...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wanaume; Ujana ni utapeli

    ILIANDIKWA NA LUQMAN MALOTO AKIWA Kijana, alifanya tukio. Hakujuta. Na akasahau. Akaishi miaka 44 mingine. Ndipo akatokea mtu akamkumbusha kile alichokifanya. Akaumia. Akatamani asahihishe makosa yake. Hakupata fursa hiyo. Miaka mitatu baadaye akafariki dunia akiwa mwenye huzuni kubwa...
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mikoani wanabaki fit kwa sababu wanakula namna hii..

    Pamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema. Wanaume wa mikoani hawali milo yenye mafuta sana Tazama hii na muwaambie vijana wa Dar kwamba wenzenu hawatumii vumbi la Kongo wala putururu...
  9. itoko jr

    JamiiForums Tanzania Fanyeni mazoezi wanaume wenzangu, acheni kula chips

    Habarini wanaJF wenzangu, I hope mko gud that's fine. Oh yeah! Fanyeni mazoezi wanaume wenzangu bana acheni kula chips, kunywa bia sana zinawafanya mnakuwa mabonge minyama uzembe dah it's so sad [emoji24] mwanaume unakua na buttock (mat**ko) makubwa kumzidi mke shem on you kitambi kikubwa dah...
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wanaume matajiri wanawaoa maroboti ya kike

    Hapo vip! Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida. Na ukiwaona hauwezi kuwatofautisha na wanadamu. Alon Mask,ambaye ni tajiri wa kwanza Duniani amemuoa Roboti ya kike.Nadhani asilimia kubwa ya watu watatamani kuwa na hizi...
  11. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

    😁
  13. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna nini kinachowamaliza wanaume?

    Dar kuna nini lakini mbona wanaume wanaukimbia uanaume wao sana sana wakiwa Dar? mbona nasikia kuna mzunguko mkubwa sana wa Hela, sasa inakuwaje tena wasihangaike kutafuta?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume Manesi(wauguzi) wapo?

    Leo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?
  16. Okrap

    JamiiForums Tanzania Wanaume mbarikiwe sana

    Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
  17. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

    Salaam Wakuu, your the weapons against the kingdom of darkness. Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DC Mtatiro ataka Sheria itungwe kuwakamata Wanaume ambao wenza wao watachelewa kwenda Kliniki

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Wakili Julius Mtatiro, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo, kukamilisha haraka utaratibu wa kutunga sheria ndogo itakayohusisha kuwakamata na kuwatoza faini, wanaume ambao wake zao, wenye ujauzito watachelewa kufika kwenye vituo vya Afya kuanza kliniki. Chanzo: ITV
  19. Mtuache

    JamiiForums Tanzania Mungu ibariki Tanzania, Mungu atubariki wanaume

    Usiku wa manane barabarani wamelala wima lakini mikono inataka shilling na mili yao ipo tayari kwa ajili ya kazi, si imeendikwa Mwanaume atakula kwa jasho? Sasa wanafanya kutimiza maandiko. Usiku mwingi watambeba abiria wasio wajua na wakati mwingine kuwapeleka waasipopajua, pikipiki juu ya...
  20. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

    Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa. Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa. Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka kwa mwanamke. Kosa hilo ni: Kumtafsiri mwanamke kwa maneno yake zaidi ya vitendo vyake. Kumsikiliza...
Back
Top Bottom