wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili. Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo...
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wakikukuta una upwiru unaweza hata kufikiria kuoa, kumbe ni bomu

    Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla. Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena si nikakuta kulikua na shuhuli (wao wanaita hivo), anacheza kashika dela linaonesha pichu kabisa na...
  3. The Eric

    JamiiForums Tanzania Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

  5. Magdalene_joseph

    JamiiForums Tanzania Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika. Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala! Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    "Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi. Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
  7. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

    1. Bill Lugano 2. GENTAMYCINE 3. Chizi Maarifa 4. Deep Pond 5. Viatu vya samaki Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije. Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunakwama wapi?

    Mara hatuna nguvu, mara kimoja chalii, mara sitaki watoto wengi n.k Haya sasa, huyu ndiye mwanaume wa shoka anayetakiwa kuigwa na wanaume rijali, na mimi kama equation x nitafuata nyayo zake. Kuhusu nitawalisha nini; msiniulize, jaribuni kumuuliza huyu alikuwa anawalisha nini! Nb: Dunia...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
  10. Ma mbwa

    JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi tunalalamika kukosa nguvu za kiume lakini kuna baadhi ya mambo hatuyazingatii

    Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume. Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yasema Robo 3 ya matatizo ya Ugumba nchini yanahusu Wanaume

    Inaaminika kuwa mwanamke asiposhika ujauzito basi tatizo la ugmba analo yeye. Lakini wataalamu wanasema wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo wakihofia aina ya upimaji na wenye mapokeo hasi ya majibu yao...
  12. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane mapema, kabla jua halijazama

    Bro, Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera. Tuwashutue au tuwaache? Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa...
  13. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Leo tumekuwa mabomu

    Muda wowote tunalipuka. Ushahidi upo humuhumu, nyuzi nyingi ni kulalamika tu wanawake hivi wanawake vile na mengine mengi lakini wanawake wenyewe hawalalamiki. Mzani umehama wanaume kwa sasa ni dhaifu mno kwenye afya ya akili, vitu vidogo tu tunatoka relini. Ni nini hiki?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  15. Maleven

    JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wanaume wote Tanzania

    Huyu binti wa katikati mkae nae mbali, nimeshamchagua
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

    Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo. Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo. Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote...
  17. SPINE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia bora ya kurudisha weusi kwenye nywele zilizobadilika rangi

    Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku. Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau. Nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanaume wanaotafuta vipimo vya DNA waongezeka nchini Uganda

    Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema. Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA kwa watoto wao imeongezeka kwa asilimia 70. "Hivi majuzi, idadi ya watu wanaoomba huduma za DNA...
  19. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye wake 15 asema Wanaume wenye Mke Mmoja wana Akili Ndogo Sana: "Wanaweza Kuongelea jambo moja kwa saa 3”

    Mwanamume mmoja ambaye ni mume wa wanawake wengi amewachamba wanaume ambao wameoa mke mmoja tu. Kaluhana mwenye umri wa miaka 63 anasema wanaume wenye mke mmoja wana akili ndogo sana na hawezi kuelewana nao kwa sasa Kaluhana ana wanawake 15 nchini Kenya na Uganda na anasisitiza kuwa hatachoka...
  20. Abdulazizi issa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume

    Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa 𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢; Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu...
Back
Top Bottom