wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatesa wanaume mabwege

    WANAWAKE WANATESA WANAUME MABWEGE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaleta mambo ya kibwegebwege Kwa nini usiteswe. Unaleta Tabia za kibwege nazi, Acha unyooshwe. Hakuna mwanaume Duniani mwenye Akili zake, anayejitambua alafu ateswe na Wanawake. Kitendo cha wewe kuteswa na Mwanamke...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

    Habarini nyote, Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine. Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo. Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo? Ni hayo tu 🙏🙏🙏
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

    Hakuna kilicho badirika wanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaani kwenu wanaume wa mtandaoni ni wanakula af wanakupotezea ivyo yaani
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

    Wasaalam. Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi. Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza. Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo. Nawasilisha.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

    Haya wanaume mkuje! Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea naye. Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri" Hapo mwamba unafanyaje?
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume tunafeli wapi juu ya watoto tuliowazaa

    Naongea hili baada ya kuachana na dogo wa miaka 22 kanifata nimpe ramani ya maisha kumdadisi kaniambia Baba na mama yake hawaishi pamoja kitambo. Baba Hana sauti kwa mama wa kambo akiomba msaada wowote wa kuendelezwa baba anamsikiliza mama wa kambo.Baba anasema Hana hela wakati watoto wa mama...
  7. JamiiForums Tanzania Nawashauri wanaume usiende chumvini unajimaliza hali ni mbaya sana wanawake wameamua liwalo na liwe

    Wasalaam JF, Chonde chonde mabaharia wenzangu tumia akili na maarifa katika mazingira yako yoyote yale, kuwa makini sana na afya yako. Wanawake wameamua wana kauli mbiu maisha ni mafupi wanachetua, wanachachua, wanashandua. Kwa wastani kwa huu mfumo wa network, madalali na ofisini kutumika...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaocheza michezo na vicoba wananufaiaika zaidi kuliko wanaume wanaobeti, Je ni muda wa wanaume kujitafakari kuhamia Vicoba ?

    Kote kuna "risk" za uso zipo ila uhalisia haujifichi, Kwenye vicoba kuna "Uwezekano / probability" kubwa kuzidi betting Betting ni janga kubwa sana hapa nchini kwa wanaume, watu wanakula sana za uso hadi huruma, lakini ndio wanazama kabisa uraibu inakuwa ngumu kuacha kama ilivyo ulevi wa pombe...
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu ya uzazi ya mwanamke kwa asili ya uumbaji wake kimuundo ni ngumu mwanamke kufika kileleni. Wanaume tusilaumiwe wanawake watuongoze wao.

    Wasalaam JF, Ni dhahiri mwanaume anapata sana kero za mwanamke kutofika kileleni, kwenye hili wanawake walaumiwe wenyewe, hisia zako hamu zako kiungo chako ukitaka raha na utamu mwanamke amuongoze mwanaume. Vinginevyo namna K ilivyo kwa ndani pale utamu hasa kile kinyama hakiko katika mfumo wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanaume acheni kupima DNA

    Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo. Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo, Margaret Muhanga, anasema haijalishi kama wanaume wanaolea watoto ni baba zao kwa damu au la, na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanawapenda sana Wanaume 'Masela' kuliko wale 'Wakishua' Kingono?

    Nasikia Masela Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ile ya Bundesliga ( Ka:zi Kazi tupu ) na Wanaume wale Wakishua ( Mabrazameni ) Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ya Primera la Ligi ( ya Kitaratibu na Kiuhuruma ) mno. Haya Wabanduaji na Wabanduliwaji kuna Ukweli hapa? GENTAMYCINE sichezi...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

    Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa. Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything. Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli. Magari parking yanatingishika balaaa hahaha. Ni balaaa.
  13. JamiiForums Tanzania 50 kwa 50 tayari wanaume wanachamba

    Indicator mojawapo kwa tz ni ongezeko la wanaume wengi katika radio na tv stations kuendesha vipindi ambavyo hapo zamani vilionekana vinafaa kuendeshwa na wanawake.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

    Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) ni Wagumu 'Kurogeka' na Wanawake kama wa Mikoa mingine?

    Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi. Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma )...
  17. JamiiForums Tanzania Ni desturi kwa Waswahili kusuka nywele bila kujali jinsia zao, kwanini Zanzibar wanakataza wanaume kusuka?

    Nimesikia Zanzibar mwanaume ukikutwa umesuka nywele unapigwa faini. Wanadai ili kulinda maadili na utamaduni wa Mzanzibari. Lakini wakati huo huo utamaduni wa Mzanzibar, kama ulivyo kwa Waswahili wote ilikuwa ni ruhusa kwa mwanaume na mwanamke kusuka nywele. Naona hawa wanaodai kulinda utamaduni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitambi hakuna vijijini wakati wamama na wanaume hula viporo?

    Vijijini hakuna wanawake wenye vitambi wala wanaume pamoja na kwamba wanakula viporo na lishe isiyo bora kama mjini. Je, watu wa town nao waishi kwa viporo na vyakula kama vijijini?
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanaume wengi hatupendi kutumia kondomu

    Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea. "Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume na kubadili dini

    Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…