wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

    UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina. Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro. Raccuzzo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni mchungu na asiyeubali ni mtumwa wa fikira. Wanawake na Wanaume hili mnalijua?

    Kwanza kabisa niwape pole wale wanaopitia changamoto za mahusiano. Poleni sana Ila wakati mwingine poleni kwa kujitakia. Tatizo watu wengi hutengeza tatizo na baadaye mnakimbilia JF kuomba huruma. Leo tuambizane ukweli ulio mchungu, wanawake 90% hawateswi na waume zao bali wanatengeneza...
  3. G

    JamiiForums Tanzania kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

    Yani usipime, ngono ni kama ibada, sio wote lakini ni wengi Madereva wa malori, tipa, wachimbaji wa madini wajenzi wa nyumba
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

    Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe kama vichaa tu. Designers ndio kabisa, walishajiweka ku deal na nguo za men but exclusively women...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiislam hii inawahusuu

    Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa??? FaizaFoxy
  6. JamiiForums Tanzania Mama Mzungu, Wanaume siku hizi hawajiamini kwa sababu hawawakuti mkiwa na bikra

    Igweeh! Nataka nikujibu Kwa ufupi Sana Rafiki yangu Mama Mzungu. Wanaume hawajiamini siku hizi Kwa sababu asilimia 90% walioa Wanawake wasio na Bikra. Ni Bora ujiamini Kwa soda ambayo haijafunguliwa kuliko kujiamini Kwa kuoa Mwanamke ambaye hukumkuta Bikra. Ambacho ungetakiwa kuuliza Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna wakati mwingine sisi wanaume huwa tunahitaji ngono ya kimalaya 'rough sex' kwa wake zetu

    Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu. Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile mnafika kwa bed unamshika..anajinyongolota as always, Mvivu, mzembe na ma excuses kibao. The rough sex...
  8. JamiiForums Tanzania Waraka mpya kwa wanaume wote

    KIKAO CHA WANAUME. Kikao cha wanaume kimeisha salama jana. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae. Labda...
  9. JamiiForums Tanzania Iringa: Idadi ya wanaume waliofanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo vipigo wilayani Mufindi imepungua

    HABARI Idadi ya wanaume waliofanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo vipigo wilayani Mufindi mkoani Iringa, imepungua kutoka wanaume 811 mwezi Januari mwaka huu hadi kufikia wanaume 407 mwezi June. Mkuu wa wilaya ya Mufindi Dkt Linda Salekwa amesema kuwa hayo ni matokeo mazuri ya elimu inayoendelea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni enyi wanaume!

    Mwanaume linapokuja swala la SEX hautakiwi kabisa kuwa mvumilivu. USISIKILIZE maneno ya kijinga kutoka kwa mwanamke kama vile: • Tufahamiane vizuri kwanza • Mimi ni mlokole sex ni mpaka niolewe Mtu ambaye amekuwa sexual active hawezi kukunyima iyo Wet'Crack kabisa unless hajakuelewa kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Gari ni hitaji la lazima kwetu wanaume

    Ukiwa na Gari kuna mahitaji mengine hugharamiki nayo wala nini.
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaopenda fashion ni rahisi kupoteza ubingwa

    Salaam! Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya. Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively..... Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na mipaka. Hususani sie wanaume, kwa sababu wakuu vipo vingi venye urembo na urembo ni addiction huvuta...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwaheshimu sana wanawake walioamua kutuzalia na kutulia kwenye ndoa

    Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza. Mwanamke kama huyu muheshimu sana akimlilia mungu wake KWA maboko unayomfanyia mungu atamjibu. Imagine una...
  14. JamiiForums Tanzania Case Study: Wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka

    wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Sehemu walizotokea na kuishi miaka mingi wameshakuwa brain washed kuiweka pesa mbele na ukifatilia vizuri kundi hili ndio wamekariri sana msemo wa "Tafuta Hela" , kwao Pesa ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja katika jamii yetu kwa wanaume na wanawake

    Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
  16. JamiiForums Tanzania Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu siku zao za hedhi zinapofika na kukamilika. Dalili za mwanaume aliye kwenye hedhi ziko akilini...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume punguzeni chips mayai

    Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi (sio wote) wanakula sana chips mayai. Hii inapelekea wanakuwa wavivu, uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo, hawajitumi, tena kitandani ndio performance zero kabisa. Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chips mayai, jamani.
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

    Tuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri. Naombeni mushuke
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

    Salamu tele, Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi. Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…