wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

    Kwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana 👇👇👇 Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
  3. JamiiForums Tanzania Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura. Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

    Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu! Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba? Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

    Mwanaume anayekusaidia kutoa miguno wakati wa kudinyana. Anakuuliza “Vipi mama nakuumiza mke wangu? Pole beibeyyy 😘 Misumari kilo moja Halafu kuna Yule anakuangalia usoni kisha anakuuliza nini mamaa nipunguze kasi? Unamjibu hapana traaamuuuu 😹😹😹 Misumari kilo mbili Halafu kuna yule anataka...
  6. JamiiForums Tanzania Ukishakuwa mwenye umri wa miaka 29 hadi 40, ndio utaelewa kindaki ndaki kwa nini wanaume wanajitoaga uhai wao au wengine kugeuka vichaa.

    Niwatakie ustawi, haswa wa afya ya akili.
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme

    Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti "Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao, wanabeba mabegi ya madaftari, na kuelekea shuleni kutafuta ufunguo wa maisha yao ya baadaye. Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Karamajong, Uganda; wanaume kucheza wakiwa uchi ili kupata mke wa kuoa

    Nchini Uganda, jamii ya wafugaji ya Wakaramajong inaendelea kuangaziwa kutokana na mila na desturi zao za kipekee za asili ambazo zimehifadhiwa kwa vizazi vingi. Katika baadhi ya mila za sherehe za kijadi, wanaume wa jamii hiyo hujitokeza wakicheza ngoma wakiwa uchi au wakiwa wamevaa mavazi...
  9. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Takwimu zinaonesha wanawake wanapindua meza kwenye Uchumi na wanatumia 90% ya kipato chao kwaajili ya familia wakati Wanaume ni 35%

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa. Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
  10. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume msikandie vikoba vinawatoa sometime moja

    Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  13. JamiiForums Tanzania Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako . WEwe jua wewe ni maskini . Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wanao wahi kufika kileleni wakamatwe

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua gumzo kubwa leo tarehe 2 Septemba, 2026 baada ya kuandika ujumbe huo tata kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter). Katika chapisho hilo, Jenerali Muhoozi alitangaza kuwa wanaume wanaoshindwa kuvuka...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Tiwa Savage; Sijui kwanini, natongozwa zaidi na wanawake kuliko wanaume

    Mwanamuziki wa Nigeria Tiwa Savage amefichua kwamba anatongozwa na wanawake mara nyingi zaidi kuliko wanaume. Akizungumza wakati wa mahojiano na kituo cha Beat 99.9 FM jijini Lagos, Tiwa aliulizwa kuhusu ufuatiliaji anaopata kutoka kwa wanawake, Alijibu "Kwa kweli sijui kwa nini, lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

    Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara. Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

    MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu . MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu. YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa . yaani mawazo yenu yatasaidia
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

    Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
  20. JamiiForums Tanzania 2080 idadi ya wanawake itakuwa kubwa kuliko wanaume

    Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume. Chanzo : NBS
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…